Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,725
- 13,669
Mtoa hoja hajui hata kulinganisha vitu. Ishu za Zitto zinajukijana ni uwongo mtupu. Hii ya huyu jamaa ipo wazi sana. Acha kutetea ujinga. Hii ishu ya ufisadi ni tofauti na propaganda za kitoto za chadema kwa Zitto. Huu ni uchafu kwa kiongozi kama waziri. Hapaswi hata kutuumiwa.