Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Huyu meena nae atumbuliwe.ni jipu
Kiyunani!!Nasikitika, maana naona mtu uliyereta utetezi kama ni kijana mwenzangu, ambaye hata kama umetumwa na makamba ufanye hivyo,basi wewe tahaluma yako uitendei haki hata kama unatahaluma ya sayansi kimu, hisikufanye kuwa kasuku wa wanansiasa ambao wanatuma kama Makamaba, nataka niseme wazi katika sakata hili inatakiwa iundwe tume mahalumu nipo tayari kujitolea, lazma kuna jambo hapa.
Sema ulisemaje.hii wiki kuna mambo mengi hebu tukumbusheJana nilisemaje?
Huyo ni chumia tumbo tangu alivyo saliti na kutimuliwa chama dume amekuwa ni ndumilakuwiliNitakuwa wa mwisho kuamini kilchoandikwa na Habib Mchange
Nkuba 25 hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHiyo barua yenu ni ya Mwaka 2006.
This time around, January Makamba utajamba na kunya hadharani.
Atakwenda nigeria kukusanya masangoma na watasawazisha mambo yatapita tu,ni upepo tuI can bet kuwa Huyu mgosi mwenzangu atakaa benchi. Inauma lakini naona Kama halikwepeki. Pole Mbunge wangu . Kaa pembeni ujipange upya . Uje kivingine
Aende kwao bumbuli akalime matunda mbona yanakubali sana huko?na azam fruits wapo kwa ajili yakenakwambia bado bichi kabisa halijaisha wewe subiri mwisho wa ngoma ni kupasuka, Makamba ngoma yake inapasuka karibuni
Mbona unaweka "h" sehemu ambapo hapastahili??Nasikitika, maana naona mtu uliyereta utetezi kama ni kijana mwenzangu, ambaye hata kama umetumwa na makamba ufanye hivyo,basi wewe tahaluma yako uitendei haki hata kama unatahaluma ya sayansi kimu, hisikufanye kuwa kasuku wa wanansiasa ambao wanatuma kama Makamaba, nataka niseme wazi katika sakata hili inatakiwa iundwe tume mahalumu nipo tayari kujitolea, lazma kuna jambo hapa.
nisamhe storudia tena ilala kam unausika ujumbe umekufikiaMbona unaweka "h" sehem ambapo hawastahili??
Tahaluma =taaluma
Mzungu ameshalipwa chake, mtu na dada yake wamesha reconcile sasa kapewa kazi ya kumsafishaMzungu kafanyaje?