Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
unafahamu maana ya kumwaga radhi?hawezi omba radhi, kuomba radhi napo ni maadili. je mange ana maadili ya kufanya hivyo?..

Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
JoanJanuary Makamba ni kiongozi mzuri na mfano wa kugwa kwa vijana wengi, alikua na nafasi ya kufa ya haya enzi za JK lakin kutokana na weledi na mapnz yake akaiweka nchi mbele. Leo mjinga mmoja mwnye njaa asitugombanishe na viongozi wetu tuliowachagua kwa gharama na mapenz
MkuuHuyo kapewa agizo tu!
Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
MkuuMbona Maelezo hayalingani na alichojibu muitaliano, wewe usitufanye sisi watoto
Toa upumbavu wako hapa, mjinga kabisa weweJanuary Makamba ni kiongozi mzuri na mfano wa kugwa kwa vijana wengi, alikua na nafasi ya kufa ya haya enzi za JK lakin kutokana na weledi na mapnz yake akaiweka nchi mbele. Leo mjinga mmoja mwnye njaa asitugombanishe na viongozi wetu tuliowachagua kwa gharama na mapenz
The defense lacks logical sequence, it's a lie.Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! nimecheka sana sjui lema huwa anatapa wap maneno ya vichekesho utadhani mkwerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeeeHa ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009
Barua ina time stamp ya 06 (2006)
Ha ha ha ha a
NakojowaaaaaaaAisee,
Iko a bit weird!Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Mkuu hata hizo emails za Neville hazina time stamps.Jamani.. Hivi hiyo heading ya email ilikuwa ina badilika kila Enzo aki reply? Na je pia jina lake kwenye hiyo contact yake ilikuwa ina badilika kutoka kwa Enzo na kuingia kwa C_vincenzo? Barua imepitiwa na Lawyer.. haina sahihi/ mhuri .. Tarehe fake ya miaka ya Adamu na Eva . Lawyer gani mpuuzi huyo atakubali kuingizwa kwenye ujinga huu? Je akikataa kwamba habari hii hajaiona? Please jamani.