Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

Prof Anna Tibaijuka

Ni mchumi mzuri sana kuliko hayo anayoyaongea.

Mwaka 2011 nikiwa udsm kwenye halfa moja siikumbuki vema na Lipumba na Lissu walikuwepo, huyu mama alipiga speech moja matata sana hata Lipumba hakuona ndani.

Halafu ilikuwa ni speech full Kiingereza. Ndipo nikaanza kumvulia kofia
 
Kwahyo hayo aliyoyaongea kwa video hayana umaana? Rejea mstari wa kwanza
 
Hahahahaaa, nyumbu bwana. Kesho anaweza kwenda kuchukua nafasi ya kugombea uraisi akapewa halafu baada ya oktoba 25 ambapo mama la mamama atajipatia ushindi wa 98% atarudi alikotoka. Kwakweli unyumbuni Kuna kazi!!
 
UMmebadili makalio kua kichwa
 
Kuna Ile ali sema wasomi hawa wezi kufanya vizuri kwenye mfumo wa uongozi wa zama hizi, coz Kuna machawa, walozi na hata wanafiki wa Karne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom