Kama hujamuelewa, utakuwa kilaza sana. Kilangila.Hoja yaki ni nini hasa bwashee?
Kama hujamuelewa, utakuwa kilaza sana. Kilangila.Hoja yaki ni nini hasa bwashee?
Polisi na Wabunge wasimamie viapo vyao vya kuwatumikia wananchi kama wafanyavyo madaktari, manesi, walimu, nk. badala ya kutumika kulinda maslahi pekee ya serikali.
Ni heri utawala wa wanajeshi kabisa kuliko utawala wa wanasiasa wanaowatumia wanajeshi kubaki madarakani.Wenye kuweza kufanya maamuzi ni wale wa ngazi za juu,lakini kama na wao wanafaidika na mfumo,usitegemee Askali wa chini anayelipwa laki tatu atafsnya chochote,Hawa wachini wenyewe wanadhulumiwa sana na wakubwa wao,hasira wanamalizia kwa Raia.Ogopa sana "state capture "nchi imeshikwa na kikundi kidogo Cha watu
Jpm alionea kundi jingine huku hakugusa kabisa.Police,wajeda wengi 97% wamefoji vyeti kichwani ni empty set uweledi zero kabisa angalia hata shule za hivo vyombo ndo hupata miziro yakutosha
Jpm alionea kundi jingine huku hakugusa kabisa.Police,wajeda wengi 97% wamefoji vyeti kichwani ni empty set uweledi zero kabisa angalia hata shule za hivo vyombo ndo hupata miziro yakutosha
Uko sahihi mkuu, sasa wao na shule wapi na wapi,Mapolice hawana shule wengi Ni failures wa form four na wengi wamefoji vyeti.
Jpm alionea kundi jingine huku hakugusa kabisa.Police,wajeda wengi 97% wamefoji vyeti kichwani ni empty set uweledi zero kabisa angalia hata shule za hivo vyombo ndo hupata miziro yakutosha
Unamzungumzia vp yule aliyesema katoka jalalani?Hakuna watu wa ovyo nchi hii kama wanaojiita wasomi. Mwenye Elimu ya PhD kuendelea ni Mbusi kuliko Mee unaowafahamu. Ni bora Elimu kubwa nchini ingeishia Masters degree.
Useless creatureAkina mbowe ndio waliotupatia JPM, sio CCM. Bila mbowe JPM asingekuwa Rais.
Wewe mtu ni shida sana, unaongea kama headless chickenSuper intelligent wapo taasisi ipi!!!na ipi kazi wameifanya??
Ujue wapinzani msiwe kama viazi,ndio maana ccm inawaburuza kwa kuwachezesha ngoma yoyote tu,maana inajua hamna key yenu maalum.
Majority wana elimu ndogo na ya kufoji angefatilia humo 90% wangelia na kujutaJpm alionea kundi jingine huku hakugusa kabisa.
Angegusa asingebaki mtu
Ujumbe wenye ukweli ni tiba.Wewe mtu ni shida sana, unaongea kama headless chicken
Mwamunyange alimpiga biti akamwambia ishia huko huko jeshi sio vyeti.Jeshi ni nguvu, ujasiri na akili,sio vyeti.Majority wana elimu ndogo na ya kufoji angefatilia humo 90% wangelia na kujuta