Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

Mkuu ikiwa Rais anashindwa kuheshimu kiapo chake tusishangae hao nao wakidharau viapo vyao.
Polisi na Wabunge wasimamie viapo vyao vya kuwatumikia wananchi kama wafanyavyo madaktari, manesi, walimu, nk. badala ya kutumika kulinda maslahi pekee ya serikali.
 
Kwa miaka Saba mfululizo mzumbe na ilboru sec hazijawahi kuwa na mhitimu polisi. Swali kwanini?
 
Wenye kuweza kufanya maamuzi ni wale wa ngazi za juu,lakini kama na wao wanafaidika na mfumo,usitegemee Askali wa chini anayelipwa laki tatu atafsnya chochote,Hawa wachini wenyewe wanadhulumiwa sana na wakubwa wao,hasira wanamalizia kwa Raia.Ogopa sana "state capture "nchi imeshikwa na kikundi kidogo Cha watu
Ni heri utawala wa wanajeshi kabisa kuliko utawala wa wanasiasa wanaowatumia wanajeshi kubaki madarakani.
 
Ni kweli kabisa, matatizo mengi katika hii nchi yanaletwa na wabunge na polisi, waupumbavu sana
 
Mtu aliyeelimika hawezi pokea amri bila kureasoning,ukireasoning lzm ufukuzwe kazi.Au utupwe porini ukakamate gongo.
 
Police,wajeda wengi 97% wamefoji vyeti kichwani ni empty set uweledi zero kabisa angalia hata shule za hivo vyombo ndo hupata miziro yakutosha
Jpm alionea kundi jingine huku hakugusa kabisa.
Angegusa asingebaki mtu
 
Hakuna watu wa ovyo nchi hii kama wanaojiita wasomi. Mwenye Elimu ya PhD kuendelea ni Mbusi kuliko Mee unaowafahamu. Ni bora Elimu kubwa nchini ingeishia Masters degree.
Unamzungumzia vp yule aliyesema katoka jalalani?
 
Super intelligent wapo taasisi ipi!!!na ipi kazi wameifanya??

Ujue wapinzani msiwe kama viazi,ndio maana ccm inawaburuza kwa kuwachezesha ngoma yoyote tu,maana inajua hamna key yenu maalum.
Wewe mtu ni shida sana, unaongea kama headless chicken
 
Majority wana elimu ndogo na ya kufoji angefatilia humo 90% wangelia na kujuta
Mwamunyange alimpiga biti akamwambia ishia huko huko jeshi sio vyeti.Jeshi ni nguvu, ujasiri na akili,sio vyeti.
Jiwe akagwaya thus Police,jeshi, magereza akugusa.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom