Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

Mwamunyange alimpiga biti akamwambia ishia huko huko jeshi sio vyeti.Jeshi ni nguvu, ujasiri na akili,sio vyeti.
Jiwe akagwaya thus Police,jeshi, magereza akugusa.
Angewaondoa ujambazi ungezidi maana mijamaa haijazoea kabisa hivi vijikazi vyetu halali
 
Angewaondoa ujambazi ungezidi maana mijamaa haijazoea kabisa hivi vijikazi vyetu halali
Dawa ya ujambazi ni kuwarudisha kuzimu walipotoka Hakuna dawa nyingine zaidi ya hio.
Hii imesaidia Sana south africa na USA.
Jambazi hana haki ya kuishi.Sehemu yake salama ni kuzimu na sio jela,ni matumizi mabaya ya Kodi za wananchi.
 
Mbunge mwenye akili halali angekaza mshipa wa shingo kuhakikisha mijadala mikali ya bajeti bungeni inayojibu :

1. Uchimbaji wa chuma Liganga na Mchuchuma
2. Madini yanaongezwa thamani hapahapa na kuuzwa kama mikufu, pete, bangili, trophies kwa watanzania na mataifa mengine
3. Wakulima wanalima kwa tija, wavuvi wanavua kwa tija, na wafugaji wangefuga kwa tija badala ya tozo za miamala.
4 . Matumizi makubwa ya gas yetu kutoa nishati ya umeme, majumbani na kwenye vyombo vya usafiri na magenerator ili kupunguza kukata miti, upungufu wa umeme ili kupunguza matumizi ya petroli na dizeli
5. Kuimarisha tehama nchini badala ya kuimarisha makao makuu.
6. Kuimarisha na kuongeza ufanisi kwenye bandari zetu.
7. Kutangaza kisayansi vivutio vyetu ndani na nje ya Tanzania, kwenye hili hata Rwanda inatushinda.

Eti mbunge anaona kuongeza tozo kwenye miamala ya mama lishe na bibi aliyetumiwa vijisenti na mjukuu wake anepaka watu rangi za kucha mitaani ndio sehemu sahihi ya kukusanya pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom