View attachment 50215
masikini wamekubali utumwa wa kubeba bendera ya wenzao/kubadili rangi ya bendera yao
Kwa nini hiyo chupi ni ya 'kike'!? Kuna ujumbe gani behind hiyo chupi?
hehe..nao watakuja watasema, 'simba ndo walianza'..tusianze kutajana majina...wote tuna makosa...timu zote (esp. Yanga n Simba)...tubadilike!!!Hawa Yanga bladifakeni kabisa.....
View attachment 50215
masikini wamekubali utumwa wa kubeba bendera ya wenzao/kubadili rangi ya bendera yao