Ushabiki Gani sasa Huu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushabiki Gani sasa Huu!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Mar 26, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,469
  Likes Received: 4,741
  Trophy Points: 280
  a.jpg
  Kweli mashabiki wa bongo wamepinda
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona huyo wa kulia ni mwanachama wa chama fulani cha SIHASA!
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,469
  Likes Received: 4,741
  Trophy Points: 280
  aa.jpg
  wanapokezana chupi ya ke yenye rangi ya watani zao
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,469
  Likes Received: 4,741
  Trophy Points: 280
  aaa.jpg
  masikini wamekubali utumwa wa kubeba bendera ya wenzao/kubadili rangi ya bendera yao
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ushabiki wa Yanga na Simba hautakaa kuisha ndio mambo yenyewe hayo
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  nilisikia kuwa jana waliondoka dk 10 kabla mpira haujaisha. sijui hizo chupi waliziweka wapi. Tunafurahi lakini kuna meseji ya udhalilishaji mkubwa hapo wa ile jinsia nyingine
   
 7. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hio chupi waliivaa wao na shanga wakavishwa kisha waka........................, hayo ni matusi ila kwa jana wamekalia.
   
 8. driller

  driller JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwani mambo yalikuaje..?
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kwa nini hiyo chupi ni ya 'kike'!? Kuna ujumbe gani behind hiyo chupi?
   
 10. M

  Morinho-wenger Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawaida tu,zamalekh je,ssc walivyonunua jezi feki,,umesahau na bendera za zamalekh zilivyorushwa jukwaa la simba umesahau?...kaa kimya
   
 11. M

  Morinho-wenger Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simba kavuliwa chupi..heheheheh,hahahaha
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Very poor judgement... We are allowing these things, tomorrow he will come with a vibrator and then we will condem
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ushabiki usiokuwa na maana.
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hawa Yanga bladifakeni kabisa.....
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  I dont support this kind of ushabiki bana! ni upunguani unaoonyesha jinsi gani Watanzania wanavyokosa uzalendo! nina imani hata Setif walishangaa mbona watanzania wengi hivyo wanawashangilia!
  nakumbuka ile siku Chelsea inacheza na Napolli...nilifuatilia thru Twitter messages za wachezaji wengi wa kalbu za uingereza..for that moment, wote walikuwa wanaisupport Chelsea, regardless their teams, bila kujali kama walitolewa wao, bila kujali kama wakiwashangilia it will mean Chelsea ndo timu pekee ya England in the CL!
  Watanzania bado hatujastaarabika kwenye ushabiki..inasikitisha!
  ...na hapo sijaangalia uhuni ambao umekuwa ukifanyika kwenye most of these recent matches..its a big shame!!!
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  hehe..nao watakuja watasema, 'simba ndo walianza'..tusianze kutajana majina...wote tuna makosa...timu zote (esp. Yanga n Simba)...tubadilike!!!
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Wabongo bado sana.
   
 18. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni chupi ya kiume si unajua Simba kuna mabofloo toka enzi hizo ( Amani Simba, Julio etc)
   
 19. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hizo ndizo shamrashamra za mpira. na huu utani wa jadi ndio msisimko katika soka letu la bongo
   
 20. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mmechemshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,badilikeni.
   
Loading...