The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,140
- 116,066
Cantalisia,
Mimi tabia ya kuwahi eneo la tukio na kukaa mahala ambapo sipo ilikuwa inanisaidia sana, kwa mfano unamwambia upo kwenye counter kumbe ukakaa ndani ya gari hushuki unaangalia tu pale mahali.
Lakini mimi zaidi nilifanya kiusalama coz unaweza kuwa unawasiliana na binti kumbe ana kijeba chake kinastukia kinapokonywa simu wanakuja wote halafu inakuwa balaa bin valangati :lol::lol:
aisee kumbe weengi humu mnaanza ku kiri lol