Si ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
mkuu umenichekesha sana eti mtu mzima anayejua anapoishiSi ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
NI KIVULI CHA BICHWAHiyo fuselage mbona kama imebonyea hapo karibu na mlango? Wachunguzi muiangalie vema, manake stress za huko angani isije ikawa kama ndege za Comet! Bado tuna wahitaji watanzania wenzetu (na wasio waTz) wanaozitumia ndege hizo.
Kweli mkuu.Jamaa anayefuata Anafeki smile muda si mrefu atatumbuliwa
Kuna jambo la kimfadhaiko lilimkuta akaamua kuchomoa shati.

Kimvuli....Hiyo fuselage mbona kama imebonyea hapo karibu na mlango? Wachunguzi muiangalie vema, manake stress za huko angani isije ikawa kama ndege za Comet! Bado tuna wahitaji watanzania wenzetu (na wasio waTz) wanaozitumia ndege hizo.
Sema Mwanaume mkuu wa DarMwanaume WA Dar huyo
Unashangaa nini hapo? Kwenye maadhimisho ya jeshi aliongozana na masheikh kufanya usafi halafu ghafla akakimbilia ukonga alipokuwa rais!!!!Si ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
Hiyo v8 yake kairemba mataa taa yakuwakawaka kama ya wale watoto wa kiarabu mabishoo enzi za Meck Sadiki ilikuwa tofauti sanaSi ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
Ni Nani Huyo ?Jamaa anayefuata Anafeki smile muda si mrefu atatumbuliwa
Inaelekea ww no mtovu wa nidhamuSi ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
Wewe mchokozi sana,😳😳 ninasikia waliojaliwa hivyo ule upande mwingine wanapunjwa kidogo😛😛Amejaaliwa Neema za Allah..!