Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
H
li amalianza Makonda?!?!? Hebu achene chuki zisizo na maana. Kwa nini mnamuuliza justification ya kwenda mkaelezwa?!?!?!Mkuu @Mor😵ne. unataka kutuambia nini kwa mfano wako huo ktk bandiko #14?kwamba Makonda anafanya kazi nzuri yakusifiwa?ipi,kwenda kumpokea Rais usiku ni kazi yake,Rais hana walinzi?hana dereva wa kumpeleka ikulu?kama usalama tungetegemea tumuone IGP au RPC sio mkuu wa mkoa.Makonda huo mda anaopoteza kujipendekeza kwa Rais autumie kwa kujifungia chumbani kusali kwa Mungu ampe hekima na busara kuongoza maana kila siku matamko na hata moja lililotekelezwa hamna,siamini kama Rais anataka kunyenyekewa hivyo,aonyeshe unyenyekevu wake kwa kufanya kazi inayoonekana,Dar kuna kero mbalimbali ikiwemo ujambazi azishughulikie hizo ndiyo kazi anayolipwa kuifanya halipwi mshahara ili akampokee boss wake.