Usanii wakati wa kumuaga Ngwea

Usanii wakati wa kumuaga Ngwea

Na yule jamaa yetu wa kule chini nanihiiii sijui wanakuitaje vile?naye vipi maandalizi yake anayafanyia wapi?
 
Fursa fursa mpaka misibani khaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

ni ujinga tu
kujipamba msibani that mins
haijawauma mwenzao kufa tena
ghafla tu,mashabiki imetuuma bana aaaagrhhhh!!
 
Dar raha hadi basi.....full wapenda matukio, yawe ya raha au karaha kwao furaha
hahaha nakwambia hawana tofauti Chadema tofauti Chadema kwenye matukio ndio nitoke vipi?
 
hata baba mwanaasha amepanda pipa kufata viwalo ugaibuni
 
Watakao zimia first aid yao ni bakora tu.Apatae taarifa hii amjulishe na mwenzie
 
hahaha nakwambia hawana tofauti Chadema tofauti Chadema kwenye matukio ndio nitoke vipi?

Kweli disco limeingiliwa na mmasai,ukitaka siasa fungua lango la mbele then chumba cha tatu kulia ingia!!
 
Back
Top Bottom