KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Nipo Mlimani city, awali nilikua Mwenge mademu wapo saloon kibao wakijiandaa kwa mtoko wa kesho.
Sa iv npo Mlimani city, maceleb kibao wanajinunulia viwalo na miwani ya tinted maalum kwa ajili ya kumuaga kipenzi chao Ngwea.
Tutegemee kesho watu kuzuga wamezimia hasa akina Wema, tinted za kumwaga na show off za masharabaro.