Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.

Hivi ndugu yangu una ubongo kweli wewe?! au una tunda la ubuyu tu hapo kichwani?! Kina kushangaza nini hasa huyo jamaa kwenda kujichanganya na wananchi katika kipindi hiki?! Huu ndio muda wake, kipindi cha uchaguzi, watu wanafanya nini katika kipindi cha uchaguzi? Sio kunadi tu sera za chama isipokuwa na kuyasikiliza matatizo ya wananchi, si rahisi huyu jamaa kuyafanya anayoyafanya akichukua ofisi ila atleast ataingia kule akiwa na picha halisi ya nini kipo mtaani.

Tuache kuendekeza siasa za kipuuzi za kupondana na kukashifiana kila mara. Ifike pahala watanzania tutulize vichwa na kuanza critical judgment ya mambo ya msingi na tusiendeshwe na mihemko ya kisiasa.

Watanzania tunateseka sana! Maisha magumu, hatuhitaji ilani ya chama ili tuendelee (huu ni mtazamo wangu) maana for the last 53 years ilani ya chama imetusogeza mbele kuelekea maendeleo ni kama kilomita 1 hivi kwa safari ya kilomita 10000, naomba nitoe rai, tusipoteze muda mwingi kutafuta ya kukosoa tu kutoka kwa hawa wagombea, tuyatafute na mazuri pia. Aluchokifanya Lowassa ni kitu kizuri, si busara! Kuja na kuanza kumpaka tope! After all, huu ndio muda wake muafaka!

Mimi ni mtanzania ambaye niko huru ni vifungo vya kisiasa!
 
El ni muigizaji nguli wa Tanzania.....Mtanzania mwenzangu hii ni nchi hivyo tujitahidi isiingie mikononi mwa msanii
maana atafanya utapeli mwingi sana
 
aende na Monduli anywe Maji ya Lambo wanaokunywa Wamasai kama kweli alikuwa Mbunge wao miaka 15
 
We mjinga kweli,unaanzisha Uzi wa mipasho,ngonjera na maneno ya kwenye kanga halafu unategemea upate comments za aina tofauti?Kwanza kwa uandishi wako basi wewe utakuwa mwanamke wa uswahilini na kama sivyo utakuwa wale wanaume wanaopenda taarabu!
Endelea kuota na sanaa watu wanachukua nchi halafu uje ulete upuuzi wako humu!

Sasa kama hawana hoja zaidi ya mipasho watafanyaje? Waache tutakutana October 25
 
Kuna msanii mwenye viwango vya kimataifa kuliko huyu anayemaliza muda wake?
Sijui kwanini watu wanapenda kuidanganya hadhira ilhali ukweli wanaujua!

Kuna huyu halafu kuna wale wazee wanaume watu wazima wao ni kama waimba taarab,halafu kuna wakata viuno walialikwa juzi kwenye FIESTA YA CCM. Hawana tena hoja za kumkomboa Mtanzania ni matusi tu na mipasho.
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

Mtoa post hongera kwa kazi nzuri ila nataka nikuulize swali ukiwa wazir wa maji unatakiwa uzame ziwani? ukiwa wazir wa ujenzi uzame ndani ya cement? Ukiwa Wazir wa mazingira uingie ndani ya taka?
Kaa tafakari hizi ni kampni za urais sio ubunge ni lazima kutembelea wananchi wa kawaida kabisa ili kushea nao matatizo waliyonayo...nakushangaa sana unaposema eti anatembelea v8 ulitaka wakati wa kujua matatizo ya wananchi atembelee v8;Sometimes tusipende kuona watu hawaelewi wanachofanya kwa mtazamo wangu na tambua kuwa sio lazima uamini alichokifanya ENL ndo tunayoiita political science,huyu Mzee atawatoa povu sana mwaka huu.
Watu wote wamesahau uzindizi wao na badala yake headlinea za magazeti ni Lowasa atoka kivingine.
 
ni mkakati mzuri lakini lowassa anafikiri watanazania wa sasa ni wa 95 < kiukweli kila mtu ukimuuliza anakwambia ni USANII watu sasa wameamka, wengi vijana wa town at least wana form four! hata akiondoka eneo la tukio ukafanya ka research tu kuuuliza eti jamaaa yuko serious au anaigiza, tisa ya kumi watakwambia anaigiza

Sio kweli kabisa, ukiwa ndani ya CCM hawataki kiongozi wa kuwa karibu na wanachi, sasa katoka huko yupo huru kujichanganya nao na wala si Ajabu kwani hiki ni kipindi cha kampeni anapaswa aende popote anapoona pamamfaa kwenda.
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

unauliza alikuwa wapi alikuwa ccm ambako malofa hawadhaminiwi na ndiko hukohuko magufuri yuko kusiko kwa malofa sasa lowassa amehamia kwa malofa ndiyo maana anajichanganya na malofa wenzake kumbe usishangae
 
Yeye alikuwa anapangiwa ratiba na serikali,‘sasa hivi ni mwananchi wa kawaida ,anaweza kwenda popote kulingana na katiba inavyoruhusu
 
Tueleze kwanza una umri gani ili tupime umemfahamu Mheshimiwa Lowassa kwa muda gani kujustify conclusions zako. Pia tujulishe unafahamu vipi huyu mheshimiwa na umefaya utafiti kiasi gani kuweza kujua kuwa huwa hatembelei wapiga kura.
 
El ni muigizaji nguli wa Tanzania.....Mtanzania mwenzangu hii ni nchi hivyo tujitahidi isiingie mikononi mwa msanii
maana atafanya utapeli mwingi sana

attachment.php
 
Back
Top Bottom