Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Kwamba Magufuli huwa unalala naye kwenye madaraja? Hii nayo kali! Hakuna guest house hadi ulale naye darajani?
 
Mkuu usipuuze ushauri,
sasa hizi sanaa nyingine jamaa akipata kipindupindu na afya yenyewe ndio ile shingo inageuzwa na mkono!
Mkuu acha kufuru kumbuka maneno ya komba kwa warioba usifanye kazi ya Mungu ohoooooo unajificha nyuma ya keyboard halafu unamkosoa muumba aliyekupa wewe akamnyima yeye ohooooo
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kwamba Magufuli huwa unalala naye kwenye madaraja? Hii nayo kali! Hakuna guest house hadi ulale naye darajani?

Si ndio walikuwa wana chinja Albino humo na kungòa watu kucha. Tutasikia mengi sana mwaka huu.
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?
Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?
MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?
Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?
Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda ,
Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo
Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa
Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini
Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla MNA vipasa sauti navyo means Vya ghafla?
Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?
Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie
Sisi sio malofa kataa kudanganyika

Jibu ni rahisi na fupi; alikuwa ccm a.k.a chama cha mafisadi.
 
Nilinii wanafunzi waliwahi kusafiri bure kwenye feri? Mbona magufuli alisema kwamba watasafiri bure
 
hewala baba au mama, aliyekupa wewe Uwezo wa kugeuza shingo yako electronically ndo aliyemnyima yeye

Mkuu usinitishe hilo ni dua la kuku,chama kina watu kibao ni kipi hasa mpaka msimamishe wagonjwa muache wazima?ni kipi kimewatia upofu mkaacha wasafi makachukua mafisadi?Kwa maamuzi haya ya makusudi yakukiuza chama kwa mafisadi hatuta kaa kimya tutaendelea kuwapa makavu mpaka mshike adabu
 
Mkuu acha kufuru kumbuka maneno ya komba kwa warioba usifanye kazi ya Mungu ohoooooo unajificha nyuma ya keyboard halafu unamkosoa muumba aliyekupa wewe akamnyima yeye ohooooo

Kumbe mnalitambua kwamba huyu fisadi ni mgonjwa?Dua la kuku hilo,ni upumbavu na ULOFA kuendekeza hongo mkauza chama kwa fisadi wakati chama kina watu kibao,huku mkiendelea na hiz filamu zenu,shame!
 
Watanzania lazima tubadilike tuwe kama wenzetu wazungu kwani wao hugundua vipaji mapema sana tofauti na hapa kwetu.
Hapa kwetu si jambo la ajabu kukuta mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira akawa anahimizwa kusoma mambo tofauti kabisa huku kipaji chake kikiwekwa kando.
Baada ya utafiti wa muda mrefu mtakubaliana na mimi kwamba EL ni nguli wa sanaa ya maigizo na kunaumuhimu mkubwa kwa vikundi vya sanaa kulitizama hili hasa ndugu zangu wa Kaole.
Jamaa anabadilika kutokana na mazingira kiasi ambacho inashangaza hiki kipaji kuonekana kwenye utuuzima ilihali kipindi chote hicho alikua akifanya mambo tofauti kabisa.Umri si kigezo kwani mzee Ojuang wa Kenya alizeeka na kazi yake ya maigizo mpaka umauti ulipomfika.
Mtakubaliana na mimi wapo watu walishwahi kulia kwakutizama filamu kama za ki nigeria kutokana na umahiri wa waigizaji jinsi wanavyo fikisha ujumbe kwa hadhira.
Hili si jambo geni kwa EL ambae tunamshuhudia mara anakunywa maji ya viroba ambayo kimsingi anaigiza tu kwani akishaondoka tu pembeni ya kamera mwendo ni Kilimanjaro,Mara anapanda daladala,mara anaandaa vikundi hewa vije nyumbani kumshawishi awanie uraisi.Zote hizi ni harakati zakisanii kazini.
Lakini kutokana umahiri wake wa maigizo wapo watu wanaamini kabisa kwamba jamaa ndio mfumo wake wa kunywa maji ya viroba.
Watu wanaomuamini EL hawanatofauti na watu wanaolizwa kwakutizama filamu.
Jamani huyu jamaa hana kipaji cha uongozi ni muigizaji ni vema kaole wakachangamkia hiki kipaji kinapotea bure.

Toa ulofa wako hapa. Magufuli hakuzaliwa jana wala juzi. Kama Kikwete na Mkapa na wapumbavu wengine kama wewe mnaosema Magufuli ni mchapa kazi tokea zamani kwanini Kikwete asingempisha mwaka 2010. Au huu nao ni usanii majukwaani?
 
Mie wananiboa kinyama sema basi tu.

Ukiona unaboreka ujue somo limekuingia,kama wewe upo miongoni mwa wanaolizwa na filamu sasa ndio tumeshakuzindua,kama bado utaendelea ku deal na huyu msanini wakati tumeshakwambia ndipo neno Upumbavu litakapokuhusu tena litakua si tusi kwako kwani ndivyo ilivyo tafsiri ya neno mpumbavu.
 
Toa ulofa wako hapa. Magufuli hakuzaliwa jana wala juzi. Kama Kikwete na Mkapa na wapumbavu wengine kama wewe mnaosema Magufuli ni mchapa kazi tokea zamani kwanini Kikwete asingempisha mwaka 2010. Au huu nao ni usanii majukwaani?

Kwa haya maelezo yako ni dhahiri hujaelewa somo,hemu rudia tena kusoma vizuri naamni ukielewa unaweza usiwe kwenye kundi la wanaolizwa na filamu
 
Ratiba ya lowasa;
Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

qui qui qui qui vipaji vinaonekana uzeeni,mzee ojuang aliebakia huyu
 
Kumbe mnalitambua kwamba huyu fisadi ni mgonjwa?Dua la kuku hilo,ni upumbavu na ULOFA kuendekeza hongo mkauza chama kwa fisadi wakati chama kina watu kibao,huku mkiendelea na hiz filamu zenu,shame!
Aliyekupa uzima ndiye aliyemnyima yeye kesha hapa ukikejeli maradhi uone mwisho wake
 
Aliyekupa uzima ndiye aliyemnyima yeye kesha hapa ukikejeli maradhi uone mwisho wake

Kwa upumbavu wenu wakujali pesa kuliko watanzania hatutawaacha,Aliewaambia mmuache Dr Slaa mchukue mgonjwa ni nani huku mkifaham majukumu ya uraisi si mchezo leo mkipewa makavu mnajifanya kutushia?
Acha sindano iingie mtulie hivyohivyo!
 
Gimmys, hakika umenena la ukweli,washikaji wamekosa pumzi,sasa ni mwendo wa maigizo,na hapa EL anatafuta sababu ya kuumwa ili aseme jamani mimi natoa Poo,na sinto shangaa wakisema kapewa maradhi na ccm,,kama ni ni mziki basi umewaingia
Watanzania lazima tubadilike tuwe kama wenzetu wazungu kwani wao hugundua vipaji mapema sana tofauti na hapa kwetu.
Hapa kwetu si jambo la ajabu kukuta mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira akawa anahimizwa kusoma mambo tofauti kabisa huku kipaji chake kikiwekwa kando.
Baada ya utafiti wa muda mrefu mtakubaliana na mimi kwamba EL ni nguli wa sanaa ya maigizo na kunaumuhimu mkubwa kwa vikundi vya sanaa kulitizama hili hasa ndugu zangu wa Kaole.
Jamaa anabadilika kutokana na mazingira kiasi ambacho inashangaza hiki kipaji kuonekana kwenye utuuzima ilihali kipindi chote hicho alikua akifanya mambo tofauti kabisa.Umri si kigezo kwani mzee Ojuang wa Kenya alizeeka na kazi yake ya maigizo mpaka umauti ulipomfika.
Mtakubaliana na mimi wapo watu walishwahi kulia kwakutizama filamu kama za ki nigeria kutokana na umahiri wa waigizaji jinsi wanavyo fikisha ujumbe kwa hadhira.
Hili si jambo geni kwa EL ambae tunamshuhudia mara anakunywa maji ya viroba ambayo kimsingi anaigiza tu kwani akishaondoka tu pembeni ya kamera mwendo ni Kilimanjaro,Mara anapanda daladala,mara anaandaa vikundi hewa vije nyumbani kumshawishi awanie uraisi.Zote hizi ni harakati zakisanii kazini.
Lakini kutokana umahiri wake wa maigizo wapo watu wanaamini kabisa kwamba jamaa ndio mfumo wake wa kunywa maji ya viroba.
Watu wanaomuamini EL hawanatofauti na watu wanaolizwa kwakutizama filamu.
Jamani huyu jamaa hana kipaji cha uongozi ni muigizaji ni vema kaole wakachangamkia hiki kipaji kinapotea bure.
 
Gimmys, hakika umenena la ukweli,washikaji wamekosa pumzi,sasa ni mwendo wa maigizo,na hapa EL anatafuta sababu ya kuumwa ili aseme jamani mimi natoa Poo,na sinto shangaa wakisema kapewa maradhi na ccm,,kama ni ni mziki basi umewaingia

We tizama hata coment zao humu utagundua wanatafuta public sympathy ili waonewe huruma,malofa!
 
Yule mchoraji wa katuni ya Lodi Lofa nahisi alimuona mkapa ndo akabuni mchoro huo.Pia Shilole ukihitaji madancer yupo kikwete,si ulimuona Jangwani?
 
Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.

Tunasema ni USANII miaka 53 chama kiko madarakani kinakuja na ahadi ya kuleta maji, ni usanii CCM na wagombea wake wanapishana kauli kwamba Makufuli anasema "...labda unakwenda hospitali unaambiwa dawa hakuna na kuelekezwa ukanunue pale...duka binafsi!" Samia anasema "...Kikwete amefanya vizuri kwenye sekta ya afya..." ni USANII kwa CCM kuzindua kampeni kuwa FIESTA kwa kualika wasanii zaidi ya 40, ni usanii kwa mgombea wa CCM kuvunja sheria za nchi na kuhutubia hadi saa 12:33 jioni! Kuhusu Lowassa; David Cameroon alipanda treni wakati anakwenda kuomba kura, Jakaya Kikwete alikaa chini na walemavu akiomba kura, Samia kabeba kichanga kwenye wodi ya wazazi katika Zahanati ya Hedaru Same Magharibi, WALIKUWA WAPI!?
 
Back
Top Bottom