Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida
Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?
Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?
MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?
Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?
Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda ,
Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo
Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa
Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa
Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini
Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla MNA vipasa sauti navyo means Vya ghafla?
Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?
Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie
Sisi sio malofa kataa kudanganyika