We tizama hata coment zao humu utagundua wanatafuta public sympathy ili waonewe huruma,malofa!
Kumbe unatafuta wa kuchangia thread yako ili ifikishe page nyingi kwaheri tafuta ccm wenzakoKwa upumbavu wenu wakujali pesa kuliko watanzania hatutawaacha,Aliewaambia mmuache Dr Slaa mchukue mgonjwa ni nani huku mkifaham majukumu ya uraisi si mchezo leo mkipewa makavu mnajifanya kutushia?
Acha sindano iingie mtulie hivyohivyo!
Mkuu usinitishe hilo ni dua la kuku,chama kina watu kibao ni kipi hasa mpaka msimamishe wagonjwa muache wazima?ni kipi kimewatia upofu mkaacha wasafi makachukua mafisadi?Kwa maamuzi haya ya makusudi yakukiuza chama kwa mafisadi hatuta kaa kimya tutaendelea kuwapa makavu mpaka mshike adabu
We tizama hata coment zao humu utagundua wanatafuta public sympathy ili waonewe huruma,malofa!
Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida
Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?
Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?
MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?
Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?
Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda ,
Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo
Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa
Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa
Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini
Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla MNA vipasa sauti navyo means Vya ghafla?
Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?
Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie
Sisi sio malofa kataa kudanganyika[/QUOTEusit
Usituletee siasa za maji taka hata wewe toka wadogo wa demu wako wazaliwe hawakuwahi kukuona kwao ila ulipoanza kumfuatilia Dada yao ulionekana kwao na ulisimama sana kwenye miti ya mtaa kumsubiri so sio case lowassa kupita huko sasa kujionea ujinga NA upuuzi WA ccm kwa miaka 54
Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.
Kwa haya maelezo yako ni dhahiri hujaelewa somo,hemu rudia tena kusoma vizuri naamni ukielewa unaweza usiwe kwenye kundi la wanaolizwa na filamu
Watanzania lazima tubadilike tuwe kama wenzetu wazungu kwani wao hugundua vipaji mapema sana tofauti na hapa kwetu.
Hapa kwetu si jambo la ajabu kukuta mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira akawa anahimizwa kusoma mambo tofauti kabisa huku kipaji chake kikiwekwa kando.
Baada ya utafiti wa muda mrefu mtakubaliana na mimi kwamba EL ni nguli wa sanaa ya maigizo na kunaumuhimu mkubwa kwa vikundi vya sanaa kulitizama hili hasa ndugu zangu wa Kaole.
Jamaa anabadilika kutokana na mazingira kiasi ambacho inashangaza hiki kipaji kuonekana kwenye utuuzima ilihali kipindi chote hicho alikua akifanya mambo tofauti kabisa.Umri si kigezo kwani mzee Ojuang wa Kenya alizeeka na kazi yake ya maigizo mpaka umauti ulipomfika.
Mtakubaliana na mimi wapo watu walishwahi kulia kwakutizama filamu kama za ki nigeria kutokana na umahiri wa waigizaji jinsi wanavyo fikisha ujumbe kwa hadhira.
Hili si jambo geni kwa EL ambae tunamshuhudia mara anakunywa maji ya viroba ambayo kimsingi anaigiza tu kwani akishaondoka tu pembeni ya kamera mwendo ni Kilimanjaro,Mara anapanda daladala,mara anaandaa vikundi hewa vije nyumbani kumshawishi awanie uraisi.Zote hizi ni harakati zakisanii kazini.
Lakini kutokana umahiri wake wa maigizo wapo watu wanaamini kabisa kwamba jamaa ndio mfumo wake wa kunywa maji ya viroba.
Watu wanaomuamini EL hawanatofauti na watu wanaolizwa kwakutizama filamu.
Jamani huyu jamaa hana kipaji cha uongozi ni muigizaji ni vema kaole wakachangamkia hiki kipaji kinapotea bure.
Sasa na huyu anaejigongea maji ya viroba?wenzeke kina stive nyerere kwanza wangechemsha maji kwanza,then wangefunga kwenye kiroba tayari kwa maigizo,sasa yeye anakurupuka na maigizo ata preeee bure
Kwamba Magufuli huwa unalala naye kwenye madaraja? Hii nayo kali! Hakuna guest house hadi ulale naye darajani?