muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 657
samahan wewe ni askofu?, n kweli hakuna dhambi kubwa, kama kuwa na mwanamke mmoja!! n pm ka huyo alo kuzingua!Mimi nimedumu 7 years kwenye mahusiano lakn mwaka huu ameniacha,simu hapokei wala sms hajibu,nilimgharamia kama wew na sasa ni mwalimu kaniacha,ila sina stress mana nimewapanga balaa
1.Kuna nurse 2
2.Kuna mwalimu 1
3.Mfanyabiashara 1
Jumla 4
Ni dhambi kubwa sana kuwa na mwanamke mmoja hapa duniani
Pole sana mkuu shit happens all the timeMwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu mbali mbali vya shuleni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiliano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia n.k.
Mpaka alipomaliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 hakubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha kwa wakati huo na baadae pamoja na kukubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juhudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa ukiwa na elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baada ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia saaana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila kona
SMS
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na Moyo wa huruma pia mkumbuke fadhira na hutu alio kufanyia mtu Usika...
Kwa hiyo yule wa wilaya ya Kisarawe sio wa yule wa wilaya ya Ilala?Huyo wa kwako amechelewa kubadilika tena nampongeza kidogo.
Mabinti wa siku hizi akihama tu wilaya achilia mbali mkoa, anakuwa sio wako tena
Mshana Jr aliwahi uongelea hii kitu kwenye mambo ya kidini lakini inatumika hata huko jeshini kwa lugha ya kigeni unaweza ita brain washing, Ni mafunzo flani ya kuharibu ufahamu wako kukubali kutokutumia ubongo wako kifupi unatengenezwa kuwa kama robot, Ni moja kati ya mafunzo muhimu kwa yeyote ambaye atahitajika kutumika kwenye majeshiHii ni mara ya pili nasikia hii kitu ya kuondolewa uraia, Hii ikoje mkuu?
Nakuunga mkono mkuu,jamaa akapige kitabu kwelikweli..yaani kama ana bachelor degree, tia msuli hadi PhD,halafu siku ukikutana naye,utakuwa humkumbuki kabisa.Mkuu pole sana. Lakini ushauri wangu ni kwamba hebu fanya mpango na wewe ukafungue vitabu kwa kwenda shule Mkuu. Ni muhimu sana. Nenda kasome mkuu.
Ushauri huu ni mzuri kwa asiye tendwa ila ni mgumu kwa mhanga ambaye anamawazo juu ya mwandani wake aliyeamua kumtenda.Polee utakuja kumpata mwingine hadi ujiulize mbona ulichelewa kumfahamu. Saivi tulia tu
Huyo dada ako nae ni winga telezaaa tu,Kuna Dada yangu ni mrembo kishenzi anaolewa soon kila siku ananambia kaka yangu usithubutu kumwamini mwanamke sisi ni noma
Pole sana mkuu ila tambua ndivyo walivyoMwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu mbali mbali vya shuleni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiliano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia n.k.
Mpaka alipomaliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 hakubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha kwa wakati huo na baadae pamoja na kukubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juhudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa ukiwa na elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baada ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia saaana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila kona
SMS
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na Moyo wa huruma pia mkumbuke fadhira na hutu alio kufanyia mtu Usika...
Ni mbaya sana I hate it mnooMshana Jr aliwahi uongelea hii kitu kwenye mambo ya kidini lakini inatumika hata huko jeshini kwa lugha ya kigeni unaweza ita brain washing, Ni mafunzo flani ya kuharibu ufahamu wako kukubali kutokutumia ubongo wako kifupi unatengenezwa kuwa kama robot, Ni moja kati ya mafunzo muhimu kwa yeyote ambaye atahitajika kutumika kwenye majeshi
Duuuuuh inaumaaa sanaaaa tambua waz hakuna fungu lako ucjl mwombe mungu akuonyeshe wakoMwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu mbali mbali vya shuleni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiliano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia n.k.
Mpaka alipomaliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 hakubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha kwa wakati huo na baadae pamoja na kukubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juhudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa ukiwa na elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baada ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia saaana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila kona
SMS
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na Moyo wa huruma pia mkumbuke fadhira na hutu alio kufanyia mtu Usika...
FactMimi nimedumu 7 years kwenye mahusiano lakn mwaka huu ameniacha,simu hapokei wala sms hajibu,nilimgharamia kama wew na sasa ni mwalimu kaniacha,ila sina stress mana nimewapanga balaa
1.Kuna nurse 2
2.Kuna mwalimu 1
3.Mfanyabiashara 1
Jumla 4
Ni dhambi kubwa sana kuwa na mwanamke mmoja hapa duniani
Wilaya umeenda mbali mno mwingine akihama jengo tu au mtaa umekwisher