Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 744
Naona kuna kitu hua wanalishwa wanapoingia huko ..maana dah..Pole mkuu ndo maisha ujifunze tu ila naona pia ulikosea kumpeleka huko jkt wanawake wa kijeshi akili zao wanazijuaga wenyewe
Unafikiri wanalishwa nyama 2 years consecutively ili iweje mkuu..na hata hvyo wakikosea hawafeel ile guilt
Ila ndo hivyo..we let karma do its bestUnafikiri wanalishwa nyama 2 years consecutively ili iweje mkuu..na hata hvyo wakikosea hawafeel ile guilt
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono mkuu,jamaa akapige kitabu kwelikweli..yaani kama ana bachelor degree, tia msuli hadi PhD,halafu siku ukikutana naye,utakuwa humkumbuki kabisa.
Jeshi lina mifumo yake ambayo mara nyingi wanawazua mabinti kuolewa na raia wa kawaisa,na hilo lina logic, maana kiuhalisia mtakuwa mnapishana sana kisaikolojia na ki falsafa,kwa hiyo hata ungemuoa,msingefika popote.
Sent using Jamii Forums mobile app
jifunze kumuacha aende kijana..unapombembeleza mtu asiye kupenda ni sawa na kumfunza nguruwe usafi na uzuri wakati mwenyewe hataki.....kumshawishi mtu akupende ni sawa na kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi..... MAPENZI HAYATAKI HARAKA NI KAMA TANGO UNAWEKA CHUMVI.........JIFUNZE KUMUACHA AENDE , ULIMWENGU HAUISHI KAMA ATAAMUA KUKUACHA WEWE. KAMA IPO IPO TUMwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu mbali mbali vya shuleni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiliano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia n.k.
Mpaka alipomaliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 hakubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha kwa wakati huo na baadae pamoja na kukubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juhudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa ukiwa na elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baada ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia saaana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila kona
SMS
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na Moyo wa huruma pia mkumbuke fadhira na hutu alio kufanyia mtu Usika...
DEFENSIVE MECHANISM BECAUSE ULIUMIA LAKINI IMEKUSAIDIA KUMUUMIZA NA YEYE ANGALAU KIDUCHU. AAAAAH! AAAAH! ACHENI WANAWAKE WAITWE HIVYO TU WANAWAKEPole sana rafiki,mwenyewe nilishakumbana na kadhia kama yako,tofauti ni kuwa ilikuwa twende naye wote JKT,lakini mie majina hayakuwa vizuri,hivyo akapata yy nafasi mie nikakosa,mie nikaamua kuendelea na masomo ya juu zaidi.
Mwaka wa mwisho kumaliza chuo ,naye ndio anapata kazi JWTZ,hapo akaanza kunichenjia.
Mie nikasema ,no sweaty,nikaamua pia kumuumiza kisaikolojia..Nikamwambia kuwa nilikuwa sikutaki ndio maana nikakusakizia uende jeshini ili niwe huru kula bata na nimpendaye,maana nilikuwa sikupendi,ila nilikuwa natafuta njia ya kukupiga chini. Alinipigia, nikamchana,sasa ivi analazimisha angalau tupige shoo tu,mie sitaki tena.