Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,027
- 2,250
God does not prevent us from this tragedy
Hahahhaha. Enjoy women bro... the only reason God created women was because of us men. Furahia uumbaji wa Mungu mkuu.
God does not prevent us from this tragedy
Kuna ukweli, Ingawaje ni mbayaHuyo wa kwako amechelewa kubadilika tena nampongeza kidogo.
Mabinti wa siku hizi akihama tu wilaya achilia mbali mkoa, anakuwa sio wako tena
Duuuh aisee kumbe ndivyo walivyomaaskari kuwa kuwa naye makini sio wa kuwaamini ata kidogo awe polish, Jesus, magereza, fire, uhamiaji ni balaaa hao kaka hawana mapenzi
ha ha ha ha Eti mpita njiaa aisee hilo nalo nenoMkuu ulikuwa hauna wadogo zako hapo nyumbani wa kuwasaidia?hadi ukamsaidia mpita njia?
Hivyo ndivyo wanawake walivyo mzee,pole sana!!Mwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuudumia vitu mbali mbali vya shuluni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha hualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiriano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia na n.k.
Mpaka alipo maliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 akubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha sasa na baadae pamoja na tulikubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa wewe wa elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baadae ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia sana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila koni
Sms
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na huruma pia mkumbuke hutu alio kufanyia mtu.
Kwani kuna sehemu nimeandika neno ( hualimu )Sio hualimu ni ualimu
But pole kwa yalyokusibu wenzio wanasema mchumba asomeshwi
Huwa hawasomeshi wanawake.Mwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu mbali mbali vya shuleni mfano pesa ya matumizi na kadharika japo Ada ya shule alikua akilipiwa na wanafamilia yake ususani ndugu zake.
Mpaka alipomaliza kidato cha sita tulikua bado wapenzi na nilikua nikimjali kwa kila hali na kumsaidia shida zake kadri ya uwezo wangu.
Mwaka 2012 akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya sekondary ikambidi akakae huko huko Hosteli lakini bado nilikua karibu nae kwa mawasiliano kwani alienda kusomea mkoani mbeya.
Sikusita kumsaidia japo yupo mbali nilikua nikimsaidia mambo mbali mbali ikiwemo pesa ya matumizi na hata nguo pia n.k.
Mpaka alipomaliza mafunzo yake ya Diploma mwaka 2014 hakubaatika kupata ajira ya moja kwa moja hivyo aliludi kukaa nyumbani kwanza kusubili ajira hapo tulikua karibu saanaa na kupanga mipango mingi ya kimaisha kwa wakati huo na baadae pamoja na kukubaliana kuja kufunga ndoa.
Mwaka 2016 akabaatika kupata nafasi ya kujiunga na JKT kwa kujitolea na yote hilikua ni kwa juhudi zangu kwani nilitafuta mtu wa kumuunganishia si unajua siku hizi ili kupata nafasi JKT ni lazima uwe na mtu wa kukushika mkono hasa ukiwa na elimu ya juu.
Akafanikiwa kumaliza mafunzo ya jkt na kupangiwa kambi kwa ajili ya kujitolea kusubili Ajira kwa kuwa ana elimu ya juu akuchelewa kuchukuliwa na JWTZ na kwenda kupitia Kozi ya JWTZ baada ya kuludi uko na kuapishwa kuwa mwanajeshi rasmi alianza kubadilika kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kabisha ni mwaka huu 2018.
Alikua mtu wa tofauti sana simu zangu hapokei kwa wakati msg ajibu yaani niliumia saaana.
Nikamuomba tuonane tuongee kwa kina nini tatizo Alichonijibu sikutegemea.
Nilijibiwa hivi....FANYA YAKO NA MIMI NIFANYE YANGU NASHUKURU KWA UKARIMU WAKO NA KUWA MWEMA KWANGU KWA KIPINDI CHOTE AHSANTE.
Niliumia sana sikuelewa ni kwa nini ameamua kunifanyia hivi au labda nimemkosea lakini cha ajabu aliniblock kila kona
SMS
Call
Yaani sikutegemea inauma sana
Nawaombeni wanawake kuweni na Moyo wa huruma pia mkumbuke fadhira na hutu alio kufanyia mtu Usika...
Baada ya kurekebsha 🤣🤣🤣🤣Kwani kuna sehemu nimeandika neno ( hualimu )
Nakupa nyota zote brazaMimi nimedumu 7 years kwenye mahusiano lakn mwaka huu ameniacha,simu hapokei wala sms hajibu,nilimgharamia kama wew na sasa ni mwalimu kaniacha,ila sina stress mana nimewapanga balaa
1.Kuna nurse 2
2.Kuna mwalimu 1
3.Mfanyabiashara 1
Jumla 4
Ni dhambi kubwa sana kuwa na mwanamke mmoja hapa duniani