Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Umekuwa ukifanya ngono kwa miaka mitano kuacha ukae hivi hivi itakuwa sio rahisi.labda uniambie utakuwa unachuna tu wazee wa watu wa mjini.ila nakuelewa kwa sababu hata mwez haujapita ndio maana yanakutoka manaeno makali hivyo ngoja miez mitatu ipite msimamo utapungua.uwez kumpima uaminifu na upendo wa mwanaume kwa kufanya ngono na mwanamke mwingine likija kwenye swala la ngono mwanaume huwa hajipangi.inawezekana kabisa walikuwa wanapiga story na hyo office mate wake mara akamtega jamaa akaenda kula mzigo.kama ukiweza kulishinda hili ukamsamehe jamaa utakuwa na maisha mazuri sana mbele ni ukweli kwamba jamaa anakupenda lakini ukikataa kumsamehee unajiweka katika mazingira mengine marahisi ya kusalitiwa zaidi na mwanaume mwingine
 
yaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu
Nimekuelewa sana.
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
yaani boyfriend tu unajiapiza hivyo? dunia nzima hakuna mwanaume wa peke yako ilo sahau kabisa, This case Mungu kaamua kukuonyesha uhalisia wa maisha,rudi tu
kwa jamaa muyajenge
 
yaani boyfriend tu unajiapiza hivyo? dunia nzima hakuna mwanaume wa peke yako ilo sahau kabisa, This case Mungu kaamua kukuonyesha uhalisia wa maisha,rudi tu
kwa jamaa muyajenge
Kama hakuna ME wa peke yangu, basi mimi nitakuwa wa peke yangu kivyangu...Huo uhalisi wa maisha siiuhitaji tena...nitaunda uhalisia wangu mwenyewe.
 
yaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu
Very true
 
Kwanza pole sana mana najua hali hiyo huwa inawakumba wengi katika mahusiano,ila ushauri wangu kwako kuwa robo tatu ya sisi wanaume mpango wa kando lazima uwepo hivyo hata huyo utakae mpata uziwekeze roho yako yote na kumweka katika diary yako mana ndo tabia yenu.Ila unaruhusiwa kumpa second chance mana binadamu hatujakamilika
Mh! second chance?
 
Mh baada ya kumfumania sasa jamaa amekuwa BATA tena BATA MWEUSI....mkuu ina maana nawe ni bata? Maana BATA hawezi date binadamu...au mie ndo sijui???

haaa haaaa haaa anapunguza machungu kwa kumuita ex wake bata mweusi but haimbadilishi kuwa bata kweli
 
Guyz kuna watu mnashangaa uchumba wa miaka mitano.Hiyo ni kawaida kabisa, nimeshuhudia uchumba wa miaka 6,7,8, hadi kumi.Inategemeana na malengo na mipango ya wahusika.NAOMBA MKUMBUKE KUWA LENGO LA HUU UZI SIYO KUOMBA USHAURI, MALENGO YAKE YAPO KWENYE AYA YA MWISHO YA UZI...TAFADHALINI SANA NAWAOMBA MSITOKE NJE YA MALENGO YA MADA HUSIKA.
Hizo ni hasira tu mama zikipoa hakika utamrudia tu kwa mgegedo wake kama ulikuwa wa kibabe.

Ngoja nisubiri.
 
Ulichelewa mno kutendwa ona sasa yanayokupata ungetakiwa kutendwa tangu secondary school
 
Back
Top Bottom