Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Nilijitoa kwake kwa kila kitu then leo ananifanyi upumba.vu? kwakweli halivumiliki Mkuu.

Hujampenda huyo...mapenzi ya kuwindana sio.mapenzi...mechi nyumbani..ugenini mazoezi....usipoangalia.maisha yote hutampata.kama huyo...wanaume wote tuko hivyo...rudi fasta kamle.bata wako
 
yaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu

Miaka.6 ngoni mnapenda.kuzaa hamtaki
 
yaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu

Kizazi cha zinaa! Miaka mitano ....
 
Pole Sana mkuu... Just give yourself time utafakari mlipo toka na mambo mazuri mliyo tendeana na malengo mliyo jiwekea pindi mpoo kwenye mahusiano.

Let me remind you one thing... Changamoto kwenye mahusiano zipo na ndio zinazo tujenga pia na kingine sisi ni binadamu. Shetani pia hutumia udhaifu wetu kufanya maafa.

Hizo ni hila za Ibilisi shetani kuwa tenganisha nakushauri msamehe na mkatubu kwa kufanya uzinzi miaka yote hiyo... Mfanye taratibu za ndoa mpate baraka za Mungu na wazazi pia.
 
😀😀😀😛😀😀😀Ha ha ha haa....umeeleweka Mkuu.
 
Asante Mkuu,...Things are now moving forward.
Pole mwaya, bora ww umekuwa na maamuz, mwenzio nilambiwa nina mtot nilivyohoji kutaka kujua ana umri gani nikaambiwa ndo kwanza mimba nikaumia na kwa uoga wa kuukubali ukweli nikamwambia nmekusamehe lkn sasa hivi sina raha na haya mapnz aisee! Nakutakia kila la kheri ....
 
Tena usiombe kupenda
uliempenda ajuee
Tena usiombe kupenda
uliempenda ajue
Amani utakosa Karaha jamani eeeh..
Dunia tena chungu kufa
utatamani eeh..
Mungu aliumba dunia na
Maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2
 
Wewe dada nawe umeyataka miaka mi 5 yote unakubali mwanaume akupekenyue aile tigo yako bila pete ya uchumba wala barua ya posa
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Najaribu kuvaa kiatu chako ni kweli inauma lakini jinsi unaapa haitatoakea lazima tu utapenda tena niliwai kujiapiza ivo nlivofanya surprise kwa mpnz wangu nikawa surprised nlivokaribishwa na mdada kavaa khanga tu hahaha
 
Back
Top Bottom