kajani1990
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 225
- 101
usihukumu dd.yng hy.si.dhaman.yk.ww.muache.tu hy.man.n maisha.yk mbona.tupo. wengi.wema
Ila nanyie mnatuumiza sana ndio maana na sisi tukiwapata kwenye 18 tuwafanya kweli[emoji1] [emoji1] utani tuwao ndo mabingwa wa kulia humu kila siku...!!kuhusu wanawake!
Pole Dada,nimesikia kwa uchungu Sana .sasa mshirikishe mungu umpate mume mwema mwaminifu.pia mahusiano ya muda mrefu bila ndoa huwa Mara nyingi huishia pabaya.Mabibi na mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! Pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe. Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake. He was more than a generous lover. Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana. Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.
MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu. Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana. Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu (kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye. Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? Moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea. Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi. Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani nilichokiona sikuamini! Yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? Office mate wake wa kike? Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, kweli niliamua kuwauwa wote! Potelea mbali, liwalo na liwe. Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu. Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi. Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo. Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.
Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu. Nimemwambia mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?. Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo. Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote, wacha waishi ila sitarudiana naye hata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.
MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radhi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama. Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.
Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SITOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo. Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.
NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI, ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
Duu! Kweli wewe ibilisiBaby mbona umekuja kusemeha humu? Naomba tuongee yaishee love.
Wadau mimi ndie mhusika wa huyu mtoto
yah!ndo maisha yao!kila Mtu ana myonge wake wa kumuumiza!!Ila nanyie mnatuumiza sana ndio maana na sisi tukiwapata kwenye 18 tuwafanya kweli[emoji1] [emoji1] utani tu
hujui nature ya wanaume....ukifanikiwa kumsamehe life will become easy again.......kama ameweza kutoka na bukta kukuita anamaanisha .....ukipata mwingine jiandae kukutana na jambo kama hilo tena ..asili ya kiume ni kusambaza breeds kuanzia kuku...samaki ...ngombe ...binadam na alikua hakusaliti bali anatimiza wajibuNdiyo makosa ni yangu, ila kuna mtu nimemlilia?
Yaaani wwyaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu
kwani nyie mbona mnatusaliti hatuongei tunalia kisirisiri tuuu?Mabibi na mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! Pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe. Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake. He was more than a generous lover. Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana. Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.
MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu. Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana. Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu (kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye. Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? Moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea. Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi. Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani nilichokiona sikuamini! Yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? Office mate wake wa kike? Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, kweli niliamua kuwauwa wote! Potelea mbali, liwalo na liwe. Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu. Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi. Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo. Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.
Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu. Nimemwambia mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?. Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo. Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote, wacha waishi ila sitarudiana naye hata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.
MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radhi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama. Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.
Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SITOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo. Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.
NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI, ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
una bahati ungekutana na mimi ningekufanya marehemu kabisa, pamoja na hasira zako halafu naendela kuponda raha na mwanamke wangu kwa raha tosha.,Nilijitoa kwake kwa kila kitu then leo ananifanyi upumba.vu? kwakweli halivumiliki Mkuu.
Mabibi na mabwana wa JF salam!

UITAJIMWANAUME MAANA YAKE UNATAKA KUWA MSAGAJI AU? MAANA WENGI SA HIVI SEMA WANAHIDE KULIKO HATA MASHOGA..UKIZINGATIA NINAFAJA UDUKUZI HUKO ESKIM NKAWAJUA..USIEENDA HUKO NAWE...WE UKITULIA ATAKUJA MWANAUME MKUBALIE..AU MRUDIE HUYO HUYO HAYA NI MAPITO TULabda kama wewe ni KE tunaweza kuwa marafiki...ila siitaji mwanaume tena!
Mpe mda umsamehe.. ar you truly gonna dump to hell that five years experience? Noo! Ok, well, so suppose unaingia tena kwenye relation then unaishi na mtu for 5 years then one day inatokea umegundua sio mwaminifu you will dump him again? .. so utakuwa umepoteza ten years za bure kwenye relationship... I think ukae kimya for a month then we muache aendelee kukuomba msamaha. But it is logically not healthy to abandon ship and hope on him.Mungu kamponya ila sikuwa nimempangia majeruhi bali kifo!
This is the best for you MJUMBE WA AMANI. Wanasema kua uyaone...ni pamoja na kujifunza namna ya kudeal na mambo kama haya...just weigh out and see if you can accomodate him!! Give the guy a second chance!!Mpe mda umsamehe.. ar you truly gonna dump to hell that five years experience? Noo! Ok, well, so suppose unaingia tena kwenye relation then unaishi na mtu for 5 years then one day inatokea umegundua sio mwaminifu you will dump him again? .. so utakuwa umepoteza ten years za bure kwenye relationship... I think ukae kimya for a month then we muache aendelee kukuomba msamaha. But it is logically not healthy to abandon ship and hope on him.
Nani amekuambia nahitaji mahusiano tena? hivi ni wanawake wangapi walioishi bila wanaume maisha yao yote?Mpe mda umsamehe.. ar you truly gonna dump to hell that five years experience? Noo! Ok, well, so suppose unaingia tena kwenye relation then unaishi na mtu for 5 years then one day inatokea umegundua sio mwaminifu you will dump him again? .. so utakuwa umepoteza ten years za bure kwenye relationship... I think ukae kimya for a month then we muache aendelee kukuomba msamaha. But it is logically not healthy to abandon ship and hope on him.
Jibu ulilostahili lingesababisha ban...endelea kufikiri kama kichwa chako kinavyokutuma, ila maisha ni zaidi ya fikra zetu.una bahati ungekutana na mimi ningekufanya marehemu kabisa, pamoja na hasira zako halafu naendela kuponda raha na mwanamke wangu kwa raha tosha.,
we hapo tuu ulikua na fikra, je ungelikua unafanya action ingekuaje?? embu acha kutisha wanaume wewe, ungempiga chapombe alielewa hadi anatembea uchi lakini sio mwanaume alieko fit. sijui hata sura yako ikoje.Jibu ulilostahili lingesababisha ban...endelea kufikiri kama kichwa chako kinavyokutuma, ila maisha ni zaidi ya fikra zetu.
Guyz kuna watu mnashangaa uchumba wa miaka mitano.Hiyo ni kawaida kabisa, nimeshuhudia uchumba wa miaka 6,7,8, hadi kumi.Inategemeana na malengo na mipango ya wahusika.NAOMBA MKUMBUKE KUWA LENGO LA HUU UZI SIYO KUOMBA USHAURI, MALENGO YAKE YAPO KWENYE AYA YA MWISHO YA UZI...TAFADHALINI SANA NAWAOMBA MSITOKE NJE YA MALENGO YA MADA HUSIKA.Pole dada ila mvumilivu uchumba miaka 5 jamaan