Usaliti ni mbaya sana

Usaliti ni mbaya sana

Mbowe aliagizwa na Samia kumpa ahadi za kulegeza kamba chadema ipewe majimbo kadhaa

Halafu reform ziwekwe mfukoni mpaka baada ya uchaguzi

Lissu akagoma watu wema wameshutuka na kupush aamishwe gereza kwa sababu za kiusalama na wanaotakiwa kumuona Sana Sana ni ndugu 3 wa karibu tu wanaompelekea chakula

Inaonekana mbowe alianza michezo michafu na wenzie

Lakini hawajui kwamba wanapambana na system kubwa Sana ambayo imekataa ujinga mwisho mwaka huu!!
Kwenda zako huko
Eti mwisho mwaka huu
Uchaguz utafanyika na hakuna utakacho fanya
 
Samia anajua huku Bara hakuna anayeweza kumpa kura yake hata wana CCM wenyewe hawawezi kukabidhi nchi kwa Samia hata siku moja
Kwanza ni udhaifu wake wa kuongoza hana uwezo .
Hii ilitokea kwenye Bandari DGIS na Katibu Mkuu Kiongozi waligoma, Samia akawala kichwa , baadhi ya wazalendo pale kwake wakavujisha mktaba akaanza kuwapangua pangua akamchukia Mzanzibar tena wa kwao kuwa DGIS.
Samia anajua kabisa wanaume huku bara wamemkalia kooni ndo maana leo Majaliwa anagombea tena ubunge amtege kama atampa tena Uwaziri Mkuu au atamnyima aanze harakati za Urais 2030 aje amnyooshe ni kazi kweli kweli.
Ko
Lissu ana watu kwenye system ndo maana alikua anapata taarifa za mwendazake hadi kifo chake kabla ya Samia. WAZALENDO PALE TISS HAWAJAFA WAPO.
Hasa huku Kanda ya Ziwa ambako ndiyo kuna kura nyingi hata wanaccm wameapa kuwa hawatampa kura na ndiyo maana hawataki kabisa reform ili waibe kura. Huku hatakiwi kabisa.
 
Hasa huku Kanda ya Ziwa ambako ndiyo kuna kura nyingi hata wanaccm wameapa kuwa hawatampa kura na ndiyo maana hawataki kabisa reform ili waibe kura. Huku hatakiwi kabisa.
Nilienda vijijini huko Kanda ya Ziwa .
Watu wanajua yeye na Kikwete ndo walimuua JPM kwa hiyo kura hampi
 
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana

..msimlaumu Mbowe.

..aliyekataa Reforms ni Samia Suluhu.
 
Gentleman,
Ni Freeman Aikaeli Mbowe ndie alie mashauri Lisu aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kulingana na hali yake ukilinganisha na mazingira finyu na yaliyobana zaidi ya pale keko.
In fact, Mbowe ndie alie chukua hatua za mwanzo kuomba hivyo,kabla ya lisu kukamilisha utaratibu,

Mbowe anaifahamu sana ukonga,
ina mazingira mazuri zaidi na nafasi kubwa zaidi kwa mtu kama Lisu kukaa, lakini pia ukonga ina nafasi na mazingira mazuri zaidi hata kwa wageni wengi zaidi kuonana na mahabusu wao ukilinganisha na keko

So,
Gentleman,
ni muhimu kujiepusha na upotoshaji wa hila kwa mtu mwema kama Mbowe, itakusaiadia sana 🐒
Wee kwa utetezi wako unazidi kuthibitisha usaliti wake
 
Kwanini uwe msaliti wakati fursa zipo.
Jiunge na Group la WhatsApp kwa Ajili ya kupata pesa bila kuvuja jasho...

Hii ni fursa yako kijana mwenzangu so

📝 Kinachohitajika:

1. Chagua group unalotaka ni VIP (YAKUZ) au NORMAL (YAVUZ): Tembelea mojawapo ya nyuzi zangu hapo utajua hayo, chagua jina lako hapo.

2. Piga Screenshoot 📸: Piga picha ya neno ulilochagua.

3. Tuma Inbox 📲: Tuma screenshot hiyo kwenye inbox yetu kupitia WhatsApp.

4. Lipia 💸: Utalipia jina lako, na nitaithibitisha namba yako ya WhatsApp.

5. Pata Pesa zako: Pesa zako zitaingia kutokana na jina ulilochagua kama ni YAKUZ au YAVUZ yako.

Jiunge sasa na ufurahie maisha rahisi na ya uhakika ✅.

Usikose kipindi kila siku saa tatu mpaka saa saba mchana 🎯

👉 Bonyeza hapa kujiunga na group letu la WhatsApp:

Karibu sana! 🎉
Mbogo akikushawishi kwenye fursa ujue wewe mwenyewe ndio fursa .take care
 
Back
Top Bottom