OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
INAKATISHA TAMAA MNAPOSHINDWA KUSOLVE MATATIZO NA MISIMAMO YA CHAMA NDANI YA CHAMA,CHADEMA KWA MAMBO YANAVVOKWENDA MNGEPASWA KUWA NA MSEMAJI MKUU WA CHAMA AMBAYE HABARI ZOTE IWE KATIKA MITANDAO,RADIO,MAGAZETINI YEYE PEKEE NDIYE ATARUHUSIWA KUWASILISHA BAADA YA KAMATI NDOGO NDANI YA CDM KURIDHIA HABARI HIYO KUTOLEWA,NA SIO YA KILA MTU KUHARISHA OVYO OVYO KWA KILA ANALOFIKIRI,KWA MTAZAMA WANGU HATUA HII YA KiLA MTU KUONGEA ATAKALO ITAUWA JITIHADA ZOTE ZILIZOFIKIWA
Waaapi bana wao mtu akishakuwa kamanda tuuu baaas anaandika na ku post lolote analotaka na wanaamshana kuja kuchangia,basi unabaki kinywa wazi familia ya kambale kila mmoja ana sharubu!!!!!!!
It is either now or never!!!!!