Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Mwigamba ni sehemu ya uchafu tunaousafisha ndani ya chama,

Zitto ni jalala halisi, lazima lizolewe na kufukiwa rasmi,

Hatutaki majalala ndani ya chama chetu, waende ccm hukohuko wanakokula kisha wanakuja kulala chadema

Wewe ni nani ndani ya chama?
 
chuki binafsi mbn humuulizi ben satisa na sumu aliopewa na katibu mkuu kama zito sio tishio

Nikweli nakili ninachuki, tena chuki ile ya kihafidhina kabisa,

Chuki yangu inatukia pale ninapoona wale wanaotumia kila hila kukivuruga chama ambacho ni tumaini jipya la watanzania,

Chama ambacho watu wamejitolea kumwaga damu na jasho lao kukipigania,

Naikumbuka damu ya wanaarusha 2011, nailumbuka namu ya wanaigunga, naikumbuka damu ya kijana wa morogoro, naikumbuka damu ya Mwangosi, naikumbuka damu ya soweto,

Kwakweli nakumbuka mateso ya viongozi wa CHADEMA, nakumbuka meeeeeeengi!

Lakini nakumbuka kuwa katika wanachadema na viongozi, mtu pekee ambae hajaguswa na hata moshi wa bomu tu ni Zitto Zuber Kabwe,

Huyu haijui mahabusu wala haijui pingu ya kisiasa,

Kinyume chake anashirikiana na maharamia ya CCM kuhuju chadema,

Why nisiwe na chuki? Basi nitakuwa mjinga wa mwisho nikimshangilia Zitto kwa uzandiki wake huu,
 
Napata shida sana nikitafakari Mustakbali wa CHADEMA kulingana na hali ya sasa ilivyo ndani ya Chama. Mungu awasaidie mpite salama.
 
Ni Kweli Mh.Mbunge..!

Zitto Kabwe kaponza wanasiasa wengi sana tukianza na

1.David Kafulila


Na kuwaharibia future kisiasa vijana wetu

1.Mtela Mwampamba
2.Juliana Shonza
3.Habib Mchange

Ambao ndoto zao za kuwa hata diwani zimeyeyuka

Kwani chama ni CDM
 
Kuna wapuuzi wanamfanansha zitto na lema! Lema ni sawa na lusinde.le mutuz na serukamba. Lema+mbowe+slaa+ben sa8+yericko+mungi=maiti ya zitto.

Do you think what you wrote justify you to be a great thinker and so deserve to be here?
 
Subiri ukajibu tuhuma zako za kuchafua watu kwenye mitandao.Achana na kushinda kwenye mitandao na kuwatumikia watu maana hawatakusaidia na hiyo Div. IV.30 ya kidato cha nne

Mbona DJ alipata DIV 5.... husemi
 
Kiukweli mi naona usaliti ndani ya chadema upo na unaratibiwa kwa kiasi kikubwa na kiongozi mkubwa ndani ya chama
ni wakati wa kumwomba sana mungu afanye makubwa kukiokoa hk chama maana ndilo tegemeo kubwa la watu kwa sasa, viongozi wasaliti wajue kabisa kuna damu jasho na mateso ya watu wamekufa na wameteseka kwa kutetea chm ltakuwa ni jambo la ajabu na aibu kuu leo hii km watu watalipwa pesa ili wafaidi wao na waache kuupigania ukombozi.
 
Kamanda Godbless J Lema kwanza nikupongeze sana kwa maneno murua uliyoandika katika thread hii. Pia nikufahamishe kuwa haya unayoyaandika leo wanachama wenzako wa Chadema wamekuwa wakilipigia kelele kwa muda mrefu kwamba huu usaliti unaoendelea kutokea ndani ya chama ni kwasababu Mkuu wa kikosi cha usaliti chama hakijambaini na kumchukulia hatua.

Mimi nataka nikuhakikishie kwamba siku huyo mkuu wa operation usaliti akibainika na chama kikamchukulia hatua kali bila kujali ukubwa wake ama udogo wake basi siku hiyo mtakuwa mmewatendea haki wanachama, haki ambayo wameisubiria kwa muda mrefu sana.

Kamanda Lema wewe ukiwa mjumbe wa kamati kuu, matarajjio yangu ni kwamba hoja hii utaiwasilisha katika kikao rasmi chakamati kuu na kwakuwa unaonekana unao ushahidi wa kumtambua mkuu wa kikosi cha usaliti basi hatua kali zitachukuliwa haraka sana ili kukinusuru chama na huu usaliti unaotaka kushika kasi.

Umemtega Lema
 
Last edited by a moderator:
Kuna wapuuzi wanamfanansha zitto na lema! Lema ni sawa na lusinde.le mutuz na serukamba. Lema+mbowe+slaa+ben sa8+yericko+mungi=maiti ya zitto.

Do you think what you wrote justify you to be a great thinker hence deserve to be here?
 
MKWE WA MTEI katuma mpayukaji bado mnyika...MTOTO WA KIGOMA ANAWACHACHAFYA MAFISADI YA CHADEMA,.
 
Yericko Nyerere Sio wakati wa kuogopa. Let Zitto go...who is he ???

Ipo siku atajibu haya yote mbele za Mungu. I will personally pray for all mamluki , GOD will deal with them.
 
Last edited by a moderator:
Acheni kutafuta huruma kwenye mitandao bhana.Ujasiri gani unaohubiri sasa kama huwezi kuwajibika na kuwa muwazi kwenye vikao vya ndani.This is too cheap Mheshimiwa!!
 
Muulize Zitto Zuber Kabwe mimi ni nani? Atakujibu

Zitto hana muda mchafu wa kumjua mtu mdogo kama wewe na kama ulikuwa unajiamini mbona uliingia na ID fake kumchafua! huyu aliyekupa nguvu ya kujiamini leo tushamjua nakusikitikia sana bwana mdogo.
 
Mawazo yako Lema (Mb) yanafikiria Dunia ambayo ni nadra kuipata Tanzania. Hakuna dunia wanayoishi watakatifu tu. CHADEMA ikifukuza wote wenye nia mbaya itajikuta CHADEMA haipo. Jambo la msingi ni jinsi gani ya kukabiliana nao wakiwa na ubaya wao uleule mfano unafiki na usaliti. Ni kufikiria jinsi ya kuishi nao kwa upendo huku tukiwakabili wasipate nafasi ya kuutumia unafiki na usaliti wao. Tanzania ni ya wote hata CHADEMA ni chama cha wote-wabaya na wazuri. Tuache ngano ikuwe pamoja na magugu itakuja kujlikana wakati wa mavuno. WHO knows Lema ? yawezekana na wewe unamapungufu yako ambayo wanachama wenzako wanakuvumilia. Tukisema tufukuzane tutakosa fursa ya kuonyesha uvumilivu wetu dhidi a tusiowapenda na Demokrasia ni pamoja na kuwavumilia wengine Godbless J Lema
 
Last edited by a moderator:
idawa,

Usijali hizi ndzo harakati za mabadiliko kamanda.Tutapita katika changamoto nyingi.Tuombe Mungu atupe uhai

Mkuu unachoongea ni sahihi, kama tunaweza kusimama na kusema zitto msaliti. Ni vema kumwambia na Lema kuwa kama kiongozi na mjumbe wa kamati kuu hakutakiwa kuleta porojo hizi hapa....

Rejea post zako za nyuma kipindi cha masalia ulikua muumini mkubwa wa vikao halali vya chama. ......juzi tu Mwigamba amesimamisha kwa kuleta mambo ya ndani kwenye mitandao wakati kuna vikao halali vya chama. ...

Umefika wakati muafaka kuwaambia ukweli viongozi wetu.... akikosea aambiwe amekosea...

Sio makosa ya Lema yasafishwe kwa mapungufu ya Zitto. !!!
 
Last edited by a moderator:
Mwigamba ni sehemu ya uchafu tunaousafisha ndani ya chama,

Zitto ni jalala halisi, lazima lizolewe na kufukiwa rasmi,

Hatutaki majalala ndani ya chama chetu, waende ccm hukohuko wanakokula kisha wanakuja kulala chadema

Zitto ni jalala halisi...du!

Hawa ndiyo Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kikao kiitwe kuongea usaliti? hapa kamand anatoa elimu ya uraia... wapo tunaojifuza... ulimu anayotoa lema ni muhimu kwa kipindi hiki amabapo, waliopo madarakani wanatumia dola... Lema anapandikiza ujasiri kwa vijana...
bravo Lema
Ukiwa Jasiri unamkemea ata mbowe
 
Nikweli nakili ninachuki, tena chuki ile ya kihafidhina kabisa,

Chuki yangu inatukia pale ninapoona wale wanaotumia kila hila kukivuruga chama ambacho ni tumaini jipya la watanzania,

Chama ambacho watu wamejitolea kumwaga damu na jasho lao kukipigania,

Naikumbuka damu ya wanaarusha 2011, nailumbuka namu ya wanaigunga, naikumbuka damu ya kijana wa morogoro, naikumbuka damu ya Mwangosi, naikumbuka damu ya soweto,

Kwakweli nakumbuka mateso ya viongozi wa chadema, nakumbuka meeeeeeengi!

Lakini nakumbuka kuwa katika wanachadema na viongozi, mtu pekee ambae hajaguswa na hata moshi wa bomu tu ni Zitto Zuber Kabwe,

Huyu haijui mahabusu wala haijui pingu ya kisiasa,

Kinyume chake anashirikiana na maharamia ya ccm kuhuju chadema,

Why nisiwe na chuki? Basi nitakuwa mjinga wa mwisho nikimshangilia Zitto kwa uzandiki wake huu,
Wewe kupambana na Zitto ni sawa sawa kupambanisha Mbeya City na Real Madrid.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom