SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,757
- Thread starter
- #21
Inasikitisha
Inasikitisha
Yes natafuta, ila asiwe na gubu, asiwe mbeyambeya, asiwe na majungu kama Polepoleunatafuta mume?
Kuna wakati aliwahi kuweka picha yake chumbani kwake kuna vikopo vya vaseline....Polepole hana mke wala mtoto
Na kusaidia kujua walipo,wote wqpo uswiss wanamsaidia baba yao kulikomboa taifa lao.Huku wakimsaidia kusaka account za wanamtandao na mafisadi zilizochimbiwa huko.Hivyo wapo salama.Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
Anataka kuwafikia huyoElezea mbinu kwanza utakazozitumia kuwalinda sio unakuwa kama Act wazalendo