King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,601
- 97,034
Umuofia Kwenu wana JF,
Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi.
Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela ,unajenga swimming pool nyumbani just for showoff ila hujui ABCs zozote za kumiliki Swimming Pools.
Watoto wadogo wanaweza kufika kwenye swimming pool ndani ya muda mfupi sana bila mzazi au mlezi kugundua. Sekunde chache zinaweza kubadilisha maisha ya familia.
Watoto wengi wa mastar na watu ambao hawajulikani wamefariki kwenye swimming pool baadhi yao ni watoto wa D'Banj na Davido.
Nimeandika uzi huu kutokana na tukio lililomtokea mtoto wa so called Naibu waziri wa Nishati Salome makamba ,kufiwa na mtoto wake Lincolin aliyefariki kwenye swimming pool hapo juzi.
Wapo mastar kibao sana wana maswimming pool kwao lakini ukiangalia yalivyo wazi bila protection yeyote na wana watoto wadogo nyumbani ,mmoja wapo ni Mama wa Kitambaa cheupe ,ana watoto lakini swimming pool yake haina protection yoyote.
Kumbuka: Swimming pool si toy ya mtoto. Ni eneo lenye hatari ya kuzama.
Kama una pool nyumbani, usisubiri mpaka ajali itokee ndipo uanze kufikiria usalama.
Watoto wetu hawawezi kutambua hatari zote zilizo mbele yao. Ni jukumu letu kuwawekea mazingira salama.
Kama una pool nyumbani,weka fensi kuzunguka pool au nyavu ngumu kufunika pool.(Pool Safety Nets or Pool covers).
Pool Safety Nets
Pool Covers
Pool Fensi.
Usalama wa mtoto unaanza na hatua tunazochukua kabla ya ajali kutokea. Kama una swimming pool, usiache iwe wazi bila ulinzi. Weka fensi, mlango salama na cover/nyavu maalum, na hakikisha mtoto hasogei karibu na maji bila uangalizi wa mtu mzima.
Tuchukue tahadhari leo, ili kesho tusije kujutia jambo ambalo lingeweza kuzuiwa.
King Kong III - Minjingu.