Usalama wa taifa umevamiwa?

Kiongozi anayepewa pesa na mtu akatafute cheo akikipata atamtumikia mtu au watu?
Kuna kiongozi na wana siasa kiongozi yupo kwa kuongoza nchi na wananchi wake kwa kutumia katiba na sheria. Pia huongoza wananchi wake sawa haweki mwanachama wa chama chake bora kuliko mwanachama wa chama chengine.

Kuwa kiongozi wa kweli unaweka maisha yako rehani ila kuwa mwana siasa unaweka nchi yako rehani. Kiongozi hawezi kubadilisha misimamo yake mwana siasa anageuka kwa maslahi yake alio jiwekea.
 
kwaiyo anatengeneza yake lakini sio ya taifa
 
Samia mwenyewe ni mngazija kutoka Comoro Sasa hapo Kuna usalama?
 
Mkuu nakusahihisha sehemu moja, amini usiamini kunacwatu ni wazalendo kweli kweli na hawajaandaliwa na mtu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…