Usalama wa taifa umevamiwa?

Si nchi ya viongozi wajinga/CCM mkuu sio dar tu tz imejaa wageni na wananunua ardhi kama watz tu na hakuna wakuwauliza. Kuna wasomali kila kona wanyarwanda na warundi na wakongoman ndio usiseme. Ola.yote ni sababu ya ku fail kwa mafisiemu.
 
kuna usalama condomu sasa hata mkubwa anatembea na bosi wake wakampata copy and paste msoga na kizimkazi
 
Tafathali mkuu hapo kwenye chawa kupande fyeo mpaka kuwa wathiri mkurugenzi
 
Wako wengi mwanza uliowataja hapo
 
Kila Kona wamejaa yaani ni aibu TISS imelala usingizi wa porn
 
Magu huyu huyu alie jaza wasukuma kibao idarani au mwingine mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…