Ni kweli kabisaWatu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa au ngono au uwe mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo?
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako anakufa anadaiwa milioni moja wanashikiria maiti Muhimbili?
Usalama wa uraia wako haupo kwa sababu mtu anaweza kutoka Rwanda, Burundi, Congo au Oman na kuja akaanza kuwa Chawa wa kiongozi mwisho wa siku anakuwa waziri mkuu
Ukiwa mzalendo na mzawa unaweza kuundiwa zengwe la kuambiwa si uraia Kama ilivyokuwa kwa wapili na watu kibao.
Wako wapi wengine wakina Nasari, Wenje, Zitto, kafilulila, Mdee walioibuka from no where na kuwa wabunge now bila pesa hakuna ubunge? Ingawa walikuja kukengeuka lakini tumeshindwa ku groom wapya?
Kiufupi usalama wa tiafa umevamiwa na umekufa!.
Haya ya rushwa haya jaanza leo.Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa au ngono au uwe mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo?
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako anakufa anadaiwa milioni moja wanashikiria maiti Muhimbili?
Usalama wa uraia wako haupo kwa sababu mtu anaweza kutoka Rwanda, Burundi, Congo au Oman na kuja akaanza kuwa Chawa wa kiongozi mwisho wa siku anakuwa waziri mkuu
Ukiwa mzalendo na mzawa unaweza kuundiwa zengwe la kuambiwa si uraia Kama ilivyokuwa kwa wapili na watu kibao.
Wako wapi wengine wakina Nasari, Wenje, Zitto, kafilulila, Mdee walioibuka from no where na kuwa wabunge now bila pesa hakuna ubunge? Ingawa walikuja kukengeuka lakini tumeshindwa ku groom wapya?
Kiufupi usalama wa tiafa umevamiwa na umekufa!.
😂😂😂😂😂 Sijui kwanini nmecheka ila nmecheka sana.Tafuta pesa, nunua bunduki, kila mtu ajilinde kivyake
Hao uliowataja wamegoma kushiriki uchaguzi watakuaje Wabunge Sasa?Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa au ngono au uwe mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo?
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako anakufa anadaiwa milioni moja wanashikiria maiti Muhimbili?
Usalama wa uraia wako haupo kwa sababu mtu anaweza kutoka Rwanda, Burundi, Congo au Oman na kuja akaanza kuwa Chawa wa kiongozi mwisho wa siku anakuwa waziri mkuu
Ukiwa mzalendo na mzawa unaweza kuundiwa zengwe la kuambiwa si uraia Kama ilivyokuwa kwa wapili na watu kibao.
Wako wapi wengine wakina Nasari, Wenje, Zitto, kafilulila, Mdee walioibuka from no where na kuwa wabunge now bila pesa hakuna ubunge? Ingawa walikuja kukengeuka lakini tumeshindwa ku groom wapya?
Kiufupi usalama wa tiafa umevamiwa na umekufa!.
Sio kweli, awamu ya mwisho ndio awamu ya kila mtu kujiandalia pensheni yake..Haya ya rushwa haya jaanza leo.
Tangu wakati wa Mzee Ruksa , na yakapanda chati wakati wa kapa na kikwete.
Magufuli alijaribu kuyapunguza lakini hakuweza.
Samia hana ubavu kuya punguza sababu cabinet yake ni ya wale walo ingia serikalini kwa Rushwa.
Sasa tu ngoje uchaguzi huu utakavyokuwa na serikali atakavyo simamia.
Kwa sasa atakuwa mkali sana maana hii ni awamu yake ya mwisho na anataka kuandik
Katakana wahuniWatu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.