Labda matangazo au nia? ''Wewe walikupata vipi mkuu'' interested?Mm cna uelewa juu ya mambo hayo mkuu sorry
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.winchi ,
Nasikia ni kiapo cha vyuma vilivyokaza sana mkuu na vitasa.
Jitathimini kwanza kama unaweza kula kiapo cha vyuma kabla ya kufatilia hata wanachokifanya hapa juu ya dunia ya Mola.
Wewe jamaa umsalimie viatu vya SamakiNjoo nikuunganishe.
Graygregory, post: 33093426, member: 441552"]
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
Unataka kuniharibia??Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
Umeirudia hii ID??Mkomavu, post: 33095578, member: 350075"]
Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.
Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................
Graygregory, post: 33093426, member: 441552"]
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
Read between the lines mkuu.Unataka kuniharibia??
Mmmmmmmmhhhhh!Ikitokea ya uspy wa nje kama UK najulishwe soon.
Sio ya Tz nahitaji kuwa undercover wa nchi nyingine.
Mwaka 2007 nilipomaliza masomo pale DIT FTC mkuu wa idara alitujulisha baadhi YA wanafunzi kunawatu wamekuja kwake wanaitaji wafanyakazi wa IT. Tulirudi tukapigishwa interview yakawaida maswali mengi yalihusu historia YA familia.... Baada YA Wiki mbili tukapelekwa hospitali kupimwa kunabaadhi walitemeshwa walionekana afya sio mzuri. Walitupa go ahead YA kuajiriwa sehemu nyingine na wakasema kama tutapata safari itakayo tuweka mbali na dar zaidi mwezi tutoe taarifa na walitupiga pini YA kuowa/kuzaa kiolela... (lazima umjulishe mkuu akupe ruhusa kwanza) jamaa walitufuatilia zaidi YA miaka 2 mwaka 2010 ndio tulikula mkataba..... Tuliopita katika michujo tulikuwa 9 lakini walioweza kuvumilia hadi wakapata ajira walikuwa 5... Wengine subra ilikuwa ngumu tulikuwa na hamu YA pesa ya faster faster.... Jamaa zangu wapo kijitonyama kama IT specialist na wengine telecominicationEng... Naungana na mtoa mada kazi za kitengo IWA azipo wazi Sana na hadi ulambe ajira lazima usote Sana na wakati wanakufuatilia inachukua zaidi YA mwaka ndio utagundua ni wazee wa kitendo upo nao. Mara nyingi tulikuwa tunakutana nao Pale pale DIT Mara ofisi za chuo cha utumishi......
Wewe umechanganyikiwa AKILI?Na Mimi natafuta hiyo Kazi asee
Kama kweli unampenda mwanao mwambie na muhamasishe aongeze bidii ya kuongeaongea zaidi.Dhuuuuh mwanangu anapenda sana hiyo kazi ila anapenda sana kuongeaongea!