Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
7,546
Points
2,000

Poise

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
7,546 2,000
Graygregory, post: 33093426, member: 441552"]
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
[/QUOTE]

Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.

Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
9,177
Points
2,000

Mkomavu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
9,177 2,000
Graygregory, post: 33093426, member: 441552"]
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.

Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................ [/QUOTE]Umeirudia hii ID??
 
Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
7,546
Points
2,000

Poise

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
7,546 2,000
Mkomavu, post: 33095578, member: 350075"]
Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.

Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................ [/QUOTE]Umeirudia hii ID??
[/QUOTE]

Mkuu ID yangu ni hii tu, nilisafiri nimerejea tena
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
9,177
Points
2,000

Mkomavu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
9,177 2,000
Mkomavu, post: 33095578, member: 350075"]
Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.

Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................
Umeirudia hii ID??
[/QUOTE]

Mkuu ID yangu ni hii tu, nilisafiri nimerejea tena[/QUOTE]Ulikuwa safarini mwaka mzima??
 
Graygregory

Senior Member
Joined
Jul 2, 2017
Messages
119
Points
250

Graygregory

Senior Member
Joined Jul 2, 2017
119 250
Graygregory, post: 33093426, member: 441552"]
Ni kigumu sana kiapo? mwenye nia anashindwa? kwa ' kunisaidia ', maelezo pia (tu) wanaweza kuonekana.
Kiapo cha kutothamini kitu chochote katika maisha yako isipokuwa kutii amri yoyote ile mf, hakuna thamani ya maisha wala familia wala uhai.

Ni kiapo cha shaba, vyuma vigumu vya reli
Ndukiiiii................ [/QUOTE]Sawa ila kiapo ni kiapo tu " I think ninavyo " / wenye navyo hawawezi shindwa, ikitegemeana na kua uzalendo wa kwanza ni kuipgania nchi yako.
 
Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
871
Points
1,000

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
871 1,000
Mwaka 2007 nilipomaliza masomo pale DIT FTC mkuu wa idara alitujulisha baadhi YA wanafunzi kunawatu wamekuja kwake wanaitaji wafanyakazi wa IT. Tulirudi tukapigishwa interview yakawaida maswali mengi yalihusu historia YA familia.... Baada YA Wiki mbili tukapelekwa hospitali kupimwa kunabaadhi walitemeshwa walionekana afya sio mzuri. Walitupa go ahead YA kuajiriwa sehemu nyingine na wakasema kama tutapata safari itakayo tuweka mbali na dar zaidi mwezi tutoe taarifa na walitupiga pini YA kuowa/kuzaa kiolela... (lazima umjulishe mkuu akupe ruhusa kwanza) jamaa walitufuatilia zaidi YA miaka 2 mwaka 2010 ndio tulikula mkataba..... Tuliopita katika michujo tulikuwa 9 lakini walioweza kuvumilia hadi wakapata ajira walikuwa 5... Wengine subra ilikuwa ngumu tulikuwa na hamu YA pesa ya faster faster.... Jamaa zangu wapo kijitonyama kama IT specialist na wengine telecominicationEng... Naungana na mtoa mada kazi za kitengo IWA azipo wazi Sana na hadi ulambe ajira lazima usote Sana na wakati wanakufuatilia inachukua zaidi YA mwaka ndio utagundua ni wazee wa kitendo upo nao. Mara nyingi tulikuwa tunakutana nao Pale pale DIT Mara ofisi za chuo cha utumishi......
Absolutely!
 
Forum statistics

Threads 1,343,300
Members 515,007
Posts 32,779,775
Top