Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Umenikumbusha mbali..
Wewe ukaona uiapply hapo.
Yes, it is relevant.
Umenikumbusha mbali..
Wewe ukaona uiapply hapo.
Njoo nikuunganishe.Ukiipata naomba connection
Kila mtu anatamani kuwa mtu Fulani. Hata wewe hapo ulipo una ndoto zako.Haupendi kuwa,mengi,bakhresa,moe Ila kuajiriwa,kutumwa tumwa,kujipendekeza pendekeza.Change your mindsets.
Mimi niko tayari kuitumikia nchi yangukwanza si kazi ya kukimbilia kwa kuwa ukileta mahaba ya kibinadam nje ya maagizo hawaitaji dpp au kisutu,wanakupa ile kitu watu wanaogopa.
pia inahitaji usifanye mambo yako muda mwingi unawajibika hivyo huwezi jiajiri,
ukitoka ukitoa siri wanakupa zawadi ambayo roho inapenda
ukiwa na mgombea binafsi jiandae.
unatakiwa hata muda wa starehe unafikiria kazi.
Kazi za Usalama wa Taifa hazitangazwi kama ajira nyingine za majeshi.
Kama nia yako ni ya kweli ya kizalendo kuilinda nchi yako unaweza kuifanya hiyo kazi kwa kujitolewa kama informer kama una taarifa zenye mashiko zifikishe kwenye ofisi ya DSO hapo unapoishi na utatambulika rasmi kama informer wao.
Hata ukilima,ukifuga,ukiwa mwalimu utakua umelitumikia taifa.Ndugu zangu miongoni mwa Kazi ambazo toka nikiwa Mtoto nimekuwa nikiipenda ni ya usalama wa taifa. Hata hivyo hadi leo natamani nipewe Kazi hiyo ili niweze kulitumikia taifa langu kupitia eneo hilo. Natumai nitafanya vizuri sana. Naomba kwa wale mnaojua taratibu zipi zinatumika ili mtu kupata nafasi ya kuitumikia nchi kupitia eneo hilo
Under that copy cover...Undercover. Copy that
Under that copy cover...Undercover. Copy that
Sio kila cover ni cover. note downUnder that copy cover...
Kama charge ya simu eeeh?mbavu zangu 😁😁👊Unaweza ukawa unaipenda ila hauna sifa za kuajiliwaa (Intelligence yako ni low)
Njoo lile jengo mithili ya Mwewe pale St. Peter's, hili jina ninalitumia jf ni jina la huku uraiani. Kule natumia jina la Chifu, sema wewe ni mgeni wa Chifu utaletwa ofisini kwangu, nitakuhoji na nikiridhika, kazi umepata. Ila usije siku ya Ijumaa, maana Jumatatu ni mbali.
P
eti jtatu mbali sana.Njoo lile jengo mithili ya Mwewe pale St. Peter's, hili jina ninalitumia jf ni jina la huku uraiani. Kule natumia jina la Chifu, sema wewe ni mgeni wa Chifu utaletwa ofisini kwangu, nitakuhoji na nikiridhika, kazi umepata. Ila usije siku ya Ijumaa, maana Jumatatu ni mbali.
P
Kama ndivyo ilivyo basi kuajiriwa usalama ni bahati ya mtu na sio sifa na uwezo stahiki.
Kuna mambo mengi hutokea au hata matangazo mengi ya kazi hutanganzwa, sasa kujua kazi hii ni vipi na mwajiri ni nani ni jambo la msingi sana la kuzingatia la kila muombaji.
Ikitokea matangazo yao ni ya namna hiyo sijui kama huwa wanapata watu sahihi au waliokusudiwa, kwa maana yeyote aliye makini haombi kazi kwa bahati nasibu ni lazima afuatilie kwanza juu ya akiombacho.
NB. Kuna matapeli wengi sana mjini na kujua huyu ni tapeli sio kazi rahisi labda kama anaanza utapeli, hivyo sio rahisi kuomba kazi kama huna taarifa za msingi juu ya kazi yenyewe na wahusika ni wakina nani.