Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

Inawezekana akawa anatokea izumacheri.

Kama akichukua basi kwa uharaka sana atafika Jmosi.

Kwa mazingira hayo tayari atakuwa nikachelewa kama hana ticket ya flight ya asb toka mkoani.

Msifanye maisha kuwa magumu kwa potential boy-scout
 
Kama tangu utoto ulikuwa unapenda na haujawahi kujichanganya hata ujuane na mmoja kwenye hicho kitengo basi wewe ni mzembe sana.

Usipende sana hiyo kazi ili uipate kirahisi.
 
Bwanaaa weee
 
Haupendi kuwa,mengi,bakhresa,moe Ila kuajiriwa,kutumwa tumwa,kujipendekeza pendekeza.Change your mindsets.
 
Nadhani hii ni mara ya pili naiona koment kama hii au inayofanana na hii kutoka kwako.

Kwa waliosoma hesabu, kuna hesabu za logic tulikuwa tunasoma:

T then T = T

F then F = T.

So it could be.
Mkuu Don, humu jf kuna vitu vya kuamini na kuna vitu ni furahisha genge tuu.
P
 
Mkuu Don, humu jf kuna vitu vya kuamini na kuna vitu ni furahisha genge tuu.
P
Ni wewe pia huwa unaandika kwamba, "Kitu kikiandikwa au kutamkwa mara nyingi zaidi bila kukanushwa huwa ni kweli au hugeuka kuwa ukweli".
Na fact kwamba mzee wako alikuwa member (rejea story yako ya mzee kuwekwa ndani na Nyerere) si ajabu wewe pia kuwa member.
 
Na mie Darasa la sita ila najua naweza kazi vyema naweza kuja?
 
Nakushauri jambo moja muhimu sana. Kama kweli unayo nia ya kuwa mmoja wao hivi karibuni. (1) Nadhani office zao na makao yao mkuu utakuwa

unayajua yalipo.
(2) Mkuu wa kitengo utakuwa unamjua kwa cheo na majina yake.
(3) Utakuwa unazijua kazi na majukumu yao yote.
Sasa nenda moja kwa moja kwenye office zao na uwaambie nataka kazi hapa!! Maana muda mwingine wanatafuta watu wenye kujiamini tu bila woga.
Lakini ikiwa haufahamu chochote kuhusu maswali tajwa hapo juu, achana kabisa na kazi hii, maana haufai hata kidogo.
 
Pasikaliiii
 
Unaweza ukawa unaipenda ila hauna sifa za kuajiliwaa (Intelligence yako ni low)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…