Eng YOSINNO-7
New Member
- Jan 14, 2016
- 4
- 4
Hahahaa kuna siku watu walikosa kazi ya TISS kwa kuwa sio wazalendo,Jamaa ananiambia wakati wanapiga DEPO akatokea kiongozi wa KOMBANIA yao,Akasema tunahitaji watu 10 wakajitolee kuzibua Vyoo vimeziba,Jamaa yangu akawa hajajitolea,wakajitokeza watu 10 wa kujitolea na ndio hao wakawa selected kujiunga TISS kumbe lile la kuzibua vyoo ilikuwa geresha tu.