Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Serikali yetu ni sikivu sana!
Litafanyiwa kazi budget ya mwaka 2019/2020
 
Pale ni bomu linalotoa moshi kabla ya kulipuka. Pakishaua mamia ya watu utashuhudia video camera, mara michango ya rambirambi, AMBULANCE mpya mpya tu
 
Rekebisha Kiswahili Chako Siyo " Wapanue " Bali Sema Waongeze Tu Ukubwa Na Upana Wake. Mkuu Mpaka Leo Hujui Tu Vya " Kupanuliwa? ".

Mhuuh watu wengine mawazo yao sjui yanawapelekaga wapi.
 
Pale ilipaswa kujengwe hata daraja 4 tofauti kuepusha hatari inayoweza kujitokeza
 
Daraja la mto Wami pamoja na umuhimu wake katika sekta nzima ya usafiri hususani kuunganisha nchi ya Tanzania na mikoa ya kaskazini na nchi jirani za Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini n.k. Hofu yangu kuu ni wembamba wake/daraja (inayopelekea kusubiriana). Kwa nini kusiongezwe upana na uimara kama daraja la MKAPA kuepusha majanga yanayoepukika?

hapa umenena mkuu
 
Siku hiyo ndo utaona waandishi wa habari pori kila mtu akitaka picha ya tukio la abiria kuliwa na mamba pale wami
 
hivi wanaharakati mbona hawasikiki kutoa tahadhari ya hili daraja jamaniii?
 
pale panapaswa kuongezwa madaraja angalau yawe matatu ndo itasaidia hata ikitokea daraja 1 likivunjika (Mola apishie mbali)
 
Kweli sasa Jf ina watoto.
Wami tulikuwa tunaipita saa kumi za usiku na Njuweni!
 
Back
Top Bottom