Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Heri jembe limeingia madarakani lije kusafisha kile kidaraja uchwara pale WAMI maana ilikuwa kero
 
Mzeee Magufuri tupia jicho hapo wami.nasikia kuna mamba jike 123,madume 54,na vitoto543.kwa vyovyote daraja hilo ni dogo kwa kwa matumizi ya sasa.serikali ifanye mchakato wa kuliongeza upana.
 
acha usen bac ge kwani makomeo c alikuwa waziri wa ujenzi hlo daraja hakuliona?
Waziri ana nguvu kuliko Rais? Huoni sasa hivi anaamua tu hela hizi tanua barabara mnabaki kulialia anaingilia bajeti za bunge. Unafikiri alivyokuwa waziri angeweza kufanya hivyo?
 
1484512439444.jpg
nikipita pale napendaga kupiga picha,ni vizuri walipanue lile daraja kuna moja la Arusha(kwa mrefu nalo lilikua korofi ila naona kuna wakorea wameliamulia kwa sasa hata magari manne yanapishana
 
nadhani kwenye bajeti ya mwaka huu lipo kwenye mpango wa kujengwa Daraja lingine pembeni ya la sasa.Jiografia ya pale inabidi watulie kwenye design.
 
Bila shaka Katibu wetu Mwenezi atatujia tumetenga kiasi gani kwa daraja hilI. Asante
 
Back
Top Bottom