Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Mkuu bora umeliona hilo mapema huwa naogopa nikipita hapo mpaka nafumba macho maana kidaraja kidogo sana kile!!

Mkuu huwa unafumba macho halafu unapitaje!!!???
 
Mbaya zaidi unafia wami darajani halafu unakwenda motoni/ jehanamu. ADHABU MARA MBILI . 1. Kifo cha kuteseka (kuliwa na mamba) & moto milele. Daah bora kumrudia Mungu kabla ya janga la wami darajani
 
Ni daraja la kizamani sana na hiyo technologia iliyotumika kujenga haitumiki tena.Mfano kule Rombo pale mto ngwasi paliuwa watu saana lakini sasa hivi daraja la kisasa utadhani hapajawahi kuwa sehemu hatari...Himo nako daraja limejengwa kisasa na zile kona zimeondolewa siyo hatari tena.

Nina ona kaskazini wanapenda maendeleo hata huo mtambo wa maji hapo wami ungekuwa kaskazini ungetumiwa saana kwa kilimo cha umwagiliaji.Ajabu ni kwamba viongozi hawaongelei huo mradi na umwagiliaji.
 
Ni kweli daraja la Mto Wami linatakiwa kujengwa upya.Zile kona kona zamani zilikuwa haziepukiki siku hizi ikifanyika survey utashangaa unapita Mto Wami bila kona kona.Nadhani serekali ya awamu ijayo wanaweza kuliona hilo tatizo na kulifanyia kazi mara moja.
 
Uhatari wa pale darajani unakuja pale ambapo unakuta basi zaidi ya 4 zinapita juu ya daraja kwa mpigo (kuelekea upande mmoja). In case daraja linavunjika abiria 65+ dereva + kondakta X mabasi 4 = 264 watatumbukizwa pale mtoni kizembe kabisa. Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
 
Mkuu utafiti nilioufanya ni kuwa ndio sehemu pekee amabyo hakuna abiria anayepitiwa na usingizi kabisa wote wanakuwa wako macho jaribu kudadisi utaona.
Daraja la mto Wami pamoja na umuhimu wake katika sekta nzima ya usafiri hususani kuunganisha nchi ya

Tanzania na mikoa ya kaskazini na nchi jirani za Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini n.k.Hofu yangu kuu ni wembamba wake/daraja (inayopelekea kusubiriana). Kwa nini kusiongezwe upana na uimara kama daraja la MKAPA kuepusha majanga yanayoepukika?
 
bakishuu hilo hapo daraja la Ungwasi!!

1237088_229903453834756_881113154_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
We unaejua jibu sasa!

Huu utamaduni wa kuponda alafu hutoi ukweli umeshamiri na umekua tabia sasa kitu ambacho si kizuri, kama alikuwa anajua limejengwa mwaka gani s angesema tu kuliko kuwaponda wachangiaji hasa ukizingatia wengi wana depend na source kama oral tradition
 
Wachangiaji wote naona hamjui kitu ila mnaongea tu, eti mwingine anasema limejengwa kabla ya uhuru unauhakika?

We unaejua jibu sasa!

Haya Ni kwedi Kaya kitu kimesimama hapo tangu mwaka 1959,
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Wami Bridge
Daraja la Wami (Swahili)[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Coordinates[/TH]
[TD]
17px-WMA_button2b.png
6°14′48.5″S 38°23′13.5″ECoordinates:
17px-WMA_button2b.png
6°14′48.5″S 38°23′13.5″E[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Carries[/TH]
[TD]A14 road (1 lane)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Crosses[/TH]
[TD]Wami River[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Locale[/TH]
[TD="class: label"]Coast Region, Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Other name(s)[/TH]
[TD="class: nickname"]Mandera Bridge[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Owner[/TH]
[TD]Government of Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #efefef, colspan: 2, align: center"]Characteristics[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Total length[/TH]
[TD]88.75 metres (291.2 ft)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Height[/TH]
[TD]15.24 metres (50.0 ft)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #efefef, colspan: 2, align: center"]History[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Opened[/TH]
[TD]1959[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Aisee pale ni msiba wa kitaifa unasubiriwa, bendera nusu mlingoti siku 3
 
Mwanzoni mwa mwezi huu kuna fuso lilitumbukia humo mtoni dereva pamoja na utingo wote walikufa
 
Ni kiashiria cha hatari ambacho TANROADS walipaswa kukiona mapema sana
 
Back
Top Bottom