GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,602
- 127,976
Daraja la mto Wami pamoja na umuhimu wake katika sekta nzima ya usafiri hususani kuunganisha nchi ya Tanzania na mikoa ya kaskazini na nchi jirani za Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini n.k. Hofu yangu kuu ni wembamba wake/daraja (inayopelekea kusubiriana). Kwa nini kusiongezwe upana na uimara kama daraja la MKAPA kuepusha majanga yanayoepukika?
Umesema Sahihi Mkuu Na Kwa Kuongezea Tu Kwa Wale Wasiojua Ni Kwamba Hata Huo Mto Naambiwa Ndiyo Unaoongoza Kwa Kuwa Na Kina Kirefu Kati Ya Mito Mingi Tuliyonayo Kibongobongo Na Kwamba Kuna Hiace Moja Ilikuwa Inakwenda Kwa " MANDOROOOOOOOBO " Ilitumbukia Hapo Tafuta Tafuta Na Wewe Sasa Ni Mwaka Hata Wa 15 Tangu Tukio Litokee. Huo Mto Ni Balaa!