Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

Chaajabu kabisa ni kwamba pale pale kuna office za Serekali imean za Idara ya maji au Bonde la Wami Ruvu kama sikosei, still ni serekali ile ile lkn hata hawawatonyi Office husika wenzao, anyway nahisi mweleka Wa hapo ukija kutokea hata wao watakuwa mashuhuda wazuri mno nawatatoa msaana Wa uokozi kama jirani na ajari, urafiki mwema. Tujifunze kwa yaliyotokea huku nyuma
 
Chaajabu kabisa ni kwamba pale pale kuna office za Serekali imean za Idara ya maji au Bonde la Wami Ruvu kama sikosei, still ni serekali ile ile lkn hata hawawatonyi Office husika wenzao, anyway nahisi mweleka Wa hao ukija kutokea hata wao watakuwa mashuhuda wazuri mno nawatatoa msaana Wa uokozi kama jirani na ajari, urafiki mwema. Tujifunze kwa yaliyotokea huku nyuma
Hivi vyama vya wasafirishaji (TABOA& TATOA) hawanaga platform ya kuwasilisha hili?
 
Kitengo cha maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, wanakisubiria hili litokee, watapata wapi kazi za kujustify uwepo wake majanga yasipotokea?
 
Hivi vyama vya wasafirishaji (TABOA& TATOA) hawanaga platform ya kuwasilisha hili?
Mamlaka na idara za serekali na za binafsi hapa zinakosa chemistry ya kiutendaji, Hapa hatuwezi kuwasingizia TABOA &TATOA tu Bali nenda mbali zaidi mfikilie SUMATRA, TANROADS ,Wizara husika utaona mwenyewe kwa namna ambavyo kila mmoja anatakiwa awajibike
 
Kama tumeweza Kigamboni tunashindwaje hapa ?
c15473586a4411caa4a56ced099df618.jpg
 
Daraja la mto Wami pamoja na umuhimu wake katika sekta nzima ya usafiri hususani kuunganisha nchi ya Tanzania na mikoa ya kaskazini na nchi jirani za Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini n.k. Hofu yangu kuu ni wembamba wake/daraja (inayopelekea kusubiriana). Kwa nini kusiongezwe upana na uimara kama daraja la MKAPA kuepusha majanga yanayoepukika?[/QUOT

uNATAKA KUTOA RAMBIRAMBI TUTENGENEZE ACC YA wami??
 
Mamlaka na idara za serekali na za binafsi hapa zinakosa chemistry ya kiutendaji, Hapa hatuwezi kuwasingizia TABOA &TATOA tu Bali nenda mbali zaidi mfikilie SUMATRA, TANROADS ,Wizara husika utaona mwenyewe kwa namna ambavyo kila mmoja anatakiwa awajibike
Vyama hivi vina nguvu wasioitambua wakiamua wiki moja kutokufanya kazi. Daraja jipya litajengwa hakika
 
Afu apo kuna mamba wa kutosha ,Mkitumbukia apo hata kama ulikuwa umebakiwa na ka uhai kadogo nako kanachukuliwa na mamba
 
Kama wameweza kujenga ubungo interchange, Tazara interchange, Nyerere bridge kigamboni ,nakadhalika surrender bridge wanashindwaje kujenga daraja kubwa na imara zaid hata ya hayo ? Maana wami inaunganisha Mikoa mingi sana kwa mantiki ya barabara
 
Daraja lililopo Ni jembamba mno
 
Back
Top Bottom