and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,306
- 39,850
- Thread starter
- #41
Hapo mpaka mwigulu achukue nchi ndo hilo daraja litashughulikiwa
Ndugu joshua Hofu yangu zaidi ni kwa malori ikitokea likakosa breki likakukuta unasubiria mwenzio apite darajani litakusukumizia mtoni ukaliwe na mamba huko
hii hutokea mara kwa marandugu joshua hofu yangu zaidi ni kwa malori ikitokea likakosa breki likakukuta unasubiria mwenzio apite darajani litakusukumizia mtoni ukaliwe na mamba huko
ndo nani?hapo mpaka mwigulu achukue nchi ndo hilo daraja litashughulikiwa
Ndugu joshua Hofu yangu zaidi ni kwa malori ikitokea likakosa breki likakukuta unasubiria mwenzio apite darajani litakusukumizia mtoni ukaliwe na mamba huko
Hiyo imetokea juzi. Roli lilifeli brake ila akatusaidia akalipeleka polini. Tulishajua tumeondoka
Wachangiaji wote naona hamjui kitu ila mnaongea tu, eti mwingine anasema limejengwa kabla ya uhuru unauhakika?
Majanga yakitokea ndy wanakimbilia kuunda tume ya uchunguzi