Usalama wa barabarani ukiwa Kwenye Usukani... The Do’s and Don’ts

Ubaya wa cellphone sio tu upande wa kuishika or using headphones..... IMO naona inapunguza alertness na concetration kwa dereva. Imagine maybe anapata taarifa mbaya alafu yupo mahala pabaya pa kuweza sababiisha ajali.....

Ni kweli kabisa unavyosema. Wakati mwingine mtu unajikuta maongezi yamenoga na huko kunoga kunaweza kukawa ni a distraction. Ila ni bora mara kumi kutumia a hands-free device kuliko kuendesha huku umeshikilia simu mkononi!
 
Rwanda was a post war government and they almost went back to planting your head on a stick, except that it was not planted publicly. I am not sure whether law and order will survive the FPR, it is too soon for them to leave now. But they just went with extreme punishments. that is the way kwa kuanzia...
pheewww, thanks.... maana tuna issues!! my only worry ni kwamba hii jungle rule inayoendelea may not be very helpful to us kwa sasa
i see Rwanda as a good model ya law enforcement labda tukajifunze
 

Tip zangu


  • ...kwenye corner na hata mahala popote hatari bila kupewa ruhusa na aliekutangulia. Ni hatari.
Deadly, terrible advice! Huwezi kupiga overtake kwenye kona au mahala popote hatari au sehemu ambayo huoni mbele au sehemu nyingine yeyote ile based on kuruhusiwa na dereva mwingine, never ever! Kama wewe mwenyewe huoni usipite! Kama unaona, na ni salama kupita based on your own best judgment, unaweza kuamua kupita, I mean your very own safety conscious decision.

Hujui nani yuko nyuma ya usukani gari la mbele mpaka akuruhusu, hujui driver qualifications zake, hujui kanywa nini, na yeye hajui wewe utapita kwa speed gani, hajui handling yako ya gari, hajui mechanical status ya gari lako, hajui vision yako, hajui chochote, hawezi kukufanyia wewe hesabu za yule anaekuja mbele ana approach kwa speed gani na wewe upite kwa speed gani salama msigongane. Hayo maamuzi ni yako wewe dereva, asilimia 100! Wewe ndio suka.

Unasababisha ajali, unashtakiwa kwa kosa la kuendesha kizembe na kusababisha ajali, utetezi wako, unamwambia hakimu, dereva wa mbele aliniruhusu! Utaonekana jitu zembe, dereva hatari, reckless, uneducated about road use or anything for that matter.
Dereva wa gari la mbele akuruhusu kwani ye traffic police? I mean this is horrendous, dangerous advice.
 
What went wrong: Konda hakutakiwa kukaa mlango wazi na kichwa nje, sherokee lilitakiwa ku-overtake kwa wakati muafaka.
What is to be done: kuongeza awareness kuhusu posture kwenye gari, na utaratibu wa ku-overtake.


Mwali.... Niliposoma post yako usiku.... energy ndogo ilobaki nayo iliisha.... So so so SAD! The imagination itself is hard, nyie mlioona.... Dah!

Alafu na hili sauala la watu kukimbia once ajali imetokea imekaa kushoto.... thou it is said kua kuna mahala ukisimama, wewe pamoja na gari yako inakua havina hali.... sasa hapo nashindwa hata sema na kurecommend which it the best option.

IMO
 
shkamoo uncle... (sorry Anti, sio kuchakachua) :A S embarassed:
Tea%20Cup.jpg


Ankal wako amekua mvivu wa matunda.... I think it is time uwe unamchanganyia na matunda...... (akikataa uniambie); alafu bahati yako umesema mapema, ningekuchapa kwa kuchakachua....lol
 
Back
Top Bottom