Usalama upo?

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Mnijuze wana jf usalama upo kweli katika mazingira haya?
 

Attachments

  • TREN.jpg
    TREN.jpg
    145.6 KB · Views: 229
Kwa bongo hakuna usalama ila kwa wenzetu upo tena wa kutosha!
 
we hapo 2 unashangaa,uliza waliowahi kupita barabara ya Arusha - Serengeti wakuhadidhie kuhusu zile kona za ngorongoro.Yaan ni mara kumi ya hapo!!
 
Mnijuze wana jf usalama upo kweli katika mazingira haya?

Usalama upo kwani wako makini, Cape town pia kuna reli kama hii inapita kandokando ya bahari kwa umbali mrefu kutoka FishHoek kuja Cape Town. wakazi wote wa NoordHoek ndio njia yao rahisi na salama.
 
Back
Top Bottom