Wakubwa kwema ,, naombeni mnisaidie namna ya kusajili pikipiki maana mwezi uliopita nilinunua pikipiki aina ya kinglion kama tatu hivi nikawapa vijana sasa sikupewa kadi kwa maana ya kwamba saiz mfumo wa kusajili kwa jina la kampuni hawafanyi saiz , hivyo mteja ndiyo anatakiwa anaacha Tin number ndiyo watamsajilia sasa changamoto nikwamba wale madogo wanasumbuliwa sana barabaran na latra kwasababu hawana plate no wanatumia chesis namba
Hivyo nataka nilivalie njuga mwenyewe maana naona hawa wa kampuni ni miyeyusho tu naomba kujua kusajili pikipiki moja ni sh ngapi na evidence za kwenda nazo TRA ni zipi asanten wakubwa
Hivyo nataka nilivalie njuga mwenyewe maana naona hawa wa kampuni ni miyeyusho tu naomba kujua kusajili pikipiki moja ni sh ngapi na evidence za kwenda nazo TRA ni zipi asanten wakubwa