Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,621
- 2,920
Hahaha Yes huyo huyo.[emoji1][emoji1][emoji1] Musukuma huyu huyu mabus yake yanafungwaga na kamba za katani akidakwa anaanza kulia Lia eti Ni fitna za RTO?[emoji1][emoji1]
Islam hajawah kuwa mpinzani wa kweli wa abood....yan abood usimlinganishe kabisa na islam...wakat islam angalau ana basi kidogo za kueleweka, abood ndio alikuw na zile andare zikiwa mpya kabisa...na wakati huo abood alikuw anachuana sana na Hood wakati bado hajafa....islam alikuw pembeni kabisa huko....Hood akafa,Islam sijui akapotelea wapi, BM ndio akaibuka baadae ukaanza mchuano wa Abood na BM...labda kama umezaliwa juzi mkuuHivi huwa unaelewa ninachoandika ndugu mwananchi?!
Kama ungekuwa umenisoma vizuri na kwa vituo, ungefahamu nilichosema Abood kwa Morogoro mshindani wake alikuwa Islam, na huyo mwingine ambae nimemsahau!!!
Halafu kuna kila dalili wewe mwenyewe ndo mtoto mdogo... kwavile wakati unapata akili uliona kuna mabasi ya kampuni hizi na zile, ndo unadhani hata wakati upo chekechea, kampuni zote hizo zilikuwepo!!
Hebu nikuulize... hivi hata bus terminal kwa Morogoro ilikuwa wapi kwa huo muda ninaosema mimi?!
Huku akingojea kununuliwa kahawaHela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Wapi nimekutukana?!Alsaed,Sadiq line,Sia,Hood na Islam wewe hatari sana unajua kupinga na kutukana watu Tu!!
Kwani nimesema mimi mkongwe wa njia wakati nilishasema b4 nilikuwa sina uzoefu na mabasi yaendayo Morogoro?!Kwa wakongwe wa Njiani ukiwatajia Sia na Hood watakwambua hii ni Morogoro
Sawa mkuu Kazi iendeleeWapi nimekutana?!s
Kama kusema ulikuwa chekechea, ni mara ngapi umedai mimi ni mtoto wakati hata hunijui na wala sikulia lia kwamba unanitukana?
Btw, nilichopinga?! Nimekuambia kulikuwa na Abood, Islam, Hood, na nyingine nimeisahau...
Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood.
View attachment 1972491
Tutafute hela wakuu.
Guys... ushindani sio lazima nguvu wawe sawa!!I
Islam hajawah kuwa mpinzani wa kweli wa abood....yan abood usimlinganishe kabisa na islam...wakat islam angalau ana basi kidogo za kueleweka, abood ndio alikuw na zile andare zikiwa mpya kabisa...na wakati huo abood alikuw anachuana sana na Hood wakati bado hajafa....islam alikuw pembeni kabisa huko....Hood akafa,Islam sijui akapotelea wapi, BM ndio akaibuka baadae ukaanza mchuano wa Abood na BM...labda kama umezaliwa juzi mkuu
Abood Anayo polo moja inaenda mwanza imechoka balaa ukipanda huwez kurudia tenaUkikaa pale Njombe kila baada ya Nusu saa au lisaa lazima bus zake zipishane kakamata ruti zote kutoka Songea kwenda-Dar,Dom,Iringa,Tunduma,Mbeya,Njombe na sasa anakuja na Mwanza na Arusha Scania G7 Marcopolo dereva walioteuliwa wako likizo wakirudi chuma hakuna kulala.
Duh! We jamaa bhana...Huyu ni wajuzi lakini kasahau Alsaed na Sadiq pia!!!.
Niko magufuli Stand hapa, less than 30 min, Abood zimeondoka mbili , nimeacha nyingine inapakiaYani Una Danganya wazi wazi!!... Ukitoka Dar saa 11 alfajiri unafika Morogoro saa 3/4 sasa hebu tupe hii ya kila dakika 30 zinapishana vipi?!
Ni sawa na wakati Treni za mwakyembe zinaanza, wakasema daladala hazitakua na issueMengine yanapiga ruti za kwenye Misiba kwa wakazi waliofiwa wa Moro mjini.
Halafu Treni za mwendokasi zikianza Dar - Moro mbona usafiri wa mabasi nao utakuwa hauna inshu. Labda dili litabaki kwa ruti za mikoani.
Abood Anayo polo moja inaenda mwanza imechoka balaa ukipanda huwez kurudia tena
Namba moja n nani?Anakuja kuwa Sawa kumbe future ambayo hata wewe hujui kesho utakua wapi?!!..Tunataka Leo!!
Ficha ujinga mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani superfeo na selous zaid ya kwenda huko kusini , kuna kwingine anaenda?au unaposema ana route nyingi unamaanisha zipi?
Kwann usiwaze tupa geuka ?? dar moro gar s inaenda na kurud??Maana yake Kwa saa ana shusha 3 na kupandisha 3 Kwa masaa 12 ni gari 72 wakati kitu hiki ni Ndoto au ndio upo kwenye kahawa Una changanya na Tangawizi
πππ Musukuma anawatishaga Sana wasiomjua tu,Tena wakuja ndio mnamuogopa.Uzuri anawajua vzr mnamuogopa utasikia tu yule Ni tajiri ana liV8 lake limeandikwa KING M ππ, jamaa anaikodisha kwny sherehe za harusi imewafanya mkamuogopa Sana Mnadhani Ni fogo,hakuna kitu pale.Wengine utasikia anamiliki Hadi helicopter aliyoshuka nayo kwny uzinduzi wa kampeni za Lowassa Arusha πππ hua nacheka Sana,maana wakodishaji wa helicopter hio tunawajua vzr.Hahaha Yes huyo huyo.
mwamba ana magari mengi. na mengine yupo indirectly kuficha identity yake..
kuna watu wana magari..
ukija kwenye malori si ajabu kumkuta mtu ana sem mia 3 au mia 2 hadi mia 4..
[emoji16]Mtu unamiliki. ki subaru cha mkopo unajiona wewe ni wewe.
%kubwa ya magari yanayotembea barabarani wamiliki wake wanajirudia rudia.
unamkuta mtu kampuni hii ana magari 10, huku ana 40 kule ana 60.
anafanya kuchange identify na jina tu.
Magufuli mwenyewe kafa akiwa kaacha sem 100
na mabasi si chini ya 60.
Biashara ya Usafirishaji ni Ngumu tofauti na wengi wanavyofikiria!!..sasa hivi Dar/Moro ni masaa 4 Kwa Basi!!Kwann usiwaze tupa geuka ?? dar moro gar s inaenda na kurud??
Huyo kwa Dar Moro hana mpinzani,ila atapata shida sana SGR ikianza kazi rasmi ndio maana anahaha kutafuata root nyingineNiko magufuli Stand hapa, less than 30 min, Abood zimeondoka mbili , nimeacha nyingine inapakia
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] Musukuma anawatishaga Sana wasiomjua tu,Tena wakuja ndio mnamuogopa.Uzuri anawajua vzr mnamuogopa utasikia tu yule Ni tajiri ana liV8 lake limeandikwa KING M [emoji1][emoji1], jamaa anaikodisha kwny sherehe za harusi imewafanya mkamuogopa Sana Mnadhani Ni fogo,hakuna kitu pale.Wengine utasikia anamiliki Hadi helicopter aliyoshuka nayo kwny uzinduzi wa kampeni za Lowassa Arusha [emoji1][emoji1][emoji1] hua nacheka Sana,maana wakodishaji wa helicopter hio tunawajua vzr.
Bank ya nbc yenyewe ilikua inapiga mnada nyumba zake ameshindwa kulipa mil 100 tu [emoji1][emoji1].