Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Sasa we Nyerere unaanzishaje ujamaa wakati huna utajiri wa viwanda katika nchi unaowanufaisha wachache?
Umesema kweli kabisa. Katika hatua za maendeleo ukitoka ubepari ndiyo unakuja kwenye ujamaa(socialism?). Sasa hata mimi sielewi unawezaje kuwa mjamaa (kugawana mali) wakati hakuna mali ya kugawana na hakuna kikundi kinachowanyonya wengi

Nyerere alipoanzisha ujamaa nchi ilikuwa bado ipo kwenye ujima ambapo watu wetu wengi walikiwa wakulima wa kujikimu na wengine wakiwa bado ni gather and hunter. Hakukuwa na viwanda vyovyote vya maana sijui nini kilimfanya aone siasa za kijamaa zilitufaa kwa wakati huo.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Toeni hilo neno ujamaa kwenye hilo jina. Ujamaa haujawahi kuwa na tija kwa taifa lolote ulimwenguni zaidi ya kuleta madhila tu kwa watu wake.
 
Toeni hilo neno ujamaa kwenye hilo jina. Ujamaa haujawahi kuwa na tija kwa taifa lolote ulimwenguni zaidi ya kuleta madhila tu kwa watu wake.
Heading imeandika ujamaa? Mwenye hoja anazungumzia matumizi na utunzaji wa raslimali za taifa. Huo ndio ujamaa? Ubepari wenu ndiyo maendeleo? Kugawa tembo , twiga, madini kwenda china, uwekezaji dhurumati, madawa ya kulevya na ukiukwaji wa utawala bora ndiyo maendeleo ama ndio mbadala sahihi wa ujamaa?
 
What does a socialist party entail? This is obviously a flagship of socialism and it is where my fears emanate from.
 
Jikombowe wewe na familia yako kwanza halafu ndio uje kujaribu kutulaghai na sisi.

Vyama vilivyopo vinapaswa kupunguzwa idadi na si kuongeza idadi.

Wananchi tuna jambo letu na Mzee Hashimu Rungwe msitutowe kwenye reli.
mpe nafasi aeleze mkuu, kumshambulia sio tija...wananchi ndio wata judge
 
mimi nilipoona hilo neno 'socialist' basi, maana naliogopa kama ukoma, hasa nikisoma historia ya nchi za ki socialist na ile African socialism ya Nyerere

Sera zako zinataka kufanana kama za Magufuli, za ki populist flani hivi, anyway kun a watu watawakubali kama mazingira ya siasa nchini yatakuwa yamesawazishwa, ila kwa sasa hata kije chama chenye sera nzuri kiasi gani hakitafua dafu kwa CCM sababu mazingira na Katiba yapo skewed sana in favour of CCM
 
Wewe ndiye hujui lugha za kimataifa. Hizi ni enzi za utandawazi mtu anatumia lugha oyote duniani. Kung'ang'ania kishwahili peke yake ni muhuri wa "ujinga".
Wanasema hatuhitaji utegemezi wakati Jina la chama chao tu tegemezi kwa lugha ya kiingereza !!!
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Njia za kutafuta ruzuku au siyo
 
Simba na yanga na CCM wana washabiki Tanzania bara na Zanzibar .Chadema Zanzibar haina kitu imezidiwa na washabiki wa simba, yanga na CCM

Chadema acha kuilinganisha na simba au yanga au CCM sio saizi ya Chadema

Yanga na simba unaziona maana hazihujumiwi na vyombo vya dola. Ccm isingejibanza kwenye vyombo vya dola, leo hii ingekuwa kwenye kaburi moja na KANU ya Kenya. Kwahiyo ukweli huo unapaswa kutembea nao hata kama unauma.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Kama ni chama chawa cha CCM kitapata usajili , vinginevyo unajisumbua bure, kamuulize Nape na CCJ yake iliishiaga wapi.
 
Yanga na simba unaziona maana hazihujumiwi na vyombo vya dola. Ccm isingejibanza kwenye vyombo vya dola, leo hii ingekuwa kwenye kaburi moja na KANU ya Kenya. Kwahiyo ukweli huo unapaswa kutembea nao hata kama unauma.
KANU iliangushwa na ukabila

Ukabila ulipofikia kiwango cha juu wakaanza kugombana kikabila ndani ya Chama .Vita ilikuwa kubwa kila kabila kubwa likajitoa KANU likaunda chama chao .Wajaluo wakawa na chao na wakiluyu walawa na chao na makabila mengine yakawa na chao

Kilichofuata baada ya Kuua KANU ni vita za kikabila kwenye uchaguzi hadi Kenya ikazalisha wakimbizi wa ndani.Kikwete ndie alienda kuwasaidia kumaliza ugomvi wa makabila kugombea madaraka hadi kujuana

Ni magomvi yao ndani ya KANU ndio yaliua KANU sio vyombo vya dola wala tume wala kusema demokrasia kupanua!!! Ukabila ndio uliua.CCM ukabila hamna tofauti na Chadema.
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, CCM hamna ukabila au wanaccm ndio huwa mnasema hivyo? Kwa taarifa yako kilichoko CCM ni zaidi ya ukabila na kinga yao ni vyombo vya dola, cdm wa na ukabila, ukiambiwa useme ukabila wao utasema mwenyekiti wao ni mchanga, je mwenyekiti wa CCM hana kabila? Iko siku ndio mtajua hamjui. Kilichoiua KANU ni wananchi kuichoka na wakaamua kwa umoja wao kuitoa kupitia box la kura. Kama KANU ilitolewa madarakani na ukabila, nitajie kabila lililoitoa madarakani.

Huyo Kikwete mnampa sifa ya bure, yeye wakati anaenda Kenya alikuta viongozi hawataki tena vita, basi akajifanya aliwapatanisha. Hakuna hata Mkenya mmoja anamtaja JK kama sehemu ya upatanishi huo
 
Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc

Kama nimekufahamu uzuri lengo kuu nashauri kwanza tu muanze na kubadili jina la chama chenu na muje na jina la lugha ya Taifa. Ukizingatia unachojaribu kusema naona hakuna sababu hata moja ya chama chenu kutumia lugha ya kigeni wakati lugha yetu ya taifa inajitosheleza. Anzeni hapo, jivunieni lugha yenu!
 
Mkuu wananchi ni pamoja na hawa member humu jukwaani na hapa ndio wameanza kujudge, au wananchi ni wale wasioingia jf?
Huyo jamaa anamshambulia huyo anayeelezea hiki chama, sijui akashughulike na familia yake blah blah
Wakati hamjui, akosoe chama na wazo la hicho chama
 
Kama nimekufahamu uzuri lengo kuu nashauri kwanza tu muanze na kubadili jina la chama chenu na muje na jina la lugha ya Taifa. Ukizingatia unachojaribu kusema naona hakuna sababu hata moja ya chama chenu kutumia lugha ya kigeni wakati lugha yetu ya taifa inajitosheleza. Anzeni hapo, jivunieni lugha yenu!
Wanazuga kumuenzi JPM wakati JPM alikuwa hapendi English..
 
Back
Top Bottom