Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,383
- 33,041
Umesema kweli kabisa. Katika hatua za maendeleo ukitoka ubepari ndiyo unakuja kwenye ujamaa(socialism?). Sasa hata mimi sielewi unawezaje kuwa mjamaa (kugawana mali) wakati hakuna mali ya kugawana na hakuna kikundi kinachowanyonya wengiSasa we Nyerere unaanzishaje ujamaa wakati huna utajiri wa viwanda katika nchi unaowanufaisha wachache?
Nyerere alipoanzisha ujamaa nchi ilikuwa bado ipo kwenye ujima ambapo watu wetu wengi walikiwa wakulima wa kujikimu na wengine wakiwa bado ni gather and hunter. Hakukuwa na viwanda vyovyote vya maana sijui nini kilimfanya aone siasa za kijamaa zilitufaa kwa wakati huo.