Kazi ya Sensa 2022: Majina ya walioitwa kwenye Usaili kwa Manispaa ya Morogoro

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro anapenda kuwajulisha walioomba ajira za kazi za muda za Karani wa Sensa, Msimamizi wa Maudhui na Msimamizi wa TEHAMA kupitia tangazo la kazi la 05 Mei, 2022 lililotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wameitwa kwenye usaili huo

Usaili wa nafasi za Karani wa Sensa na Msimamizi wa Maudhui utafanyika 20 Julai, 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ofisi za Kata uliyoomba mwa nafasi za Msimamizi TEHAMA usaili utafanyika 21 Julai, 2022 katika ofisi za makao makuu ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
 
Attachments

  • WALIOITWA USAILI MOROGORO MANISPAA FINAL.pdf
    1.8 MB · Views: 30
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro anapenda kuwajulisha walioomba ajira za kazi za muda za Karani wa Sensa, Msimamizi wa Maudhui na Msimamizi wa TEHAMA kupitia tangazo la kazi la 05 Mei, 2022 lililotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wameitwa kwenye usaili huo

Usaili wa nafasi za Karani wa Sensa na Msimamizi wa Maudhui utafanyika 20 Julai, 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ofisi za Kata uliyoomba mwa nafasi za Msimamizi TEHAMA usaili utafanyika 21 Julai, 2022 katika ofisi za makao makuu ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
Na Manyara wilaya Babati kama unayo mkuu tafwadhali usikae kimya
 
Back
Top Bottom